Kwamba ni bora nchi iuzwe wazi wazi watz tugawane hela then tukaombe uraia!
'Kuliko iuzwe kimya kmya kwa maslahi ya watu wachache
hili lilikuwa wazo zuri
[emoji38][emoji38][emoji38]NAUUNGA MKONO HOJA.
Wanipe changu nipite kushoto,Nchi ishauuzwa hii
Kagame ni landlocked, hivyo DP World hawawezi kupata madhara yo yote kutokea bandari kavu.Vizuri kuwa na msimamo..
DP hawafai ni wezi au Dp wamefanya makubwa huko Rwanda?
Which is which?
Una maana Kagame pia kauza nchi yake Kwa waarabu??
Stop dreaming bro anza kujiandaa kuomba ajira DpWorld.Inabidi tumwite hivyo, labda ndipo atatuachia bandari zetu. Hatuna jinsi kwani wakubwa wanampenda.