Hakuna linalo weza kubadilika sababu mkataba umesha anza kufanya kazi, ule mkataba ni mgumu na wala sio mwepesi kama mnavyo dhani.Tuna Imani nao hasa Halima James Mdee!
Ndio maana mkatuita Wanyonge? Hii ni Slogan ya ajabu mnooooo. Ndugu yangu Kaka Paskali, unaaamini kabisa kuwa hatuwezi? Au hatujataka kuweza??Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Hamna mbunge pale, watampitisha huu upumbavu Kwa 100%Wabunge wako kwenye mitihani mgumu nchi naipenda na mkate mtamu.
Sasa Wabunge wanafanya kitu gani?Hakuna linalo weza kubadilika sababu mkataba umesha anza kufanya kazi, ule mkataba ni mgumu na wala sio mwepesi kama mnavyo dhani.
Msigwa na wengine kina Musukuma na Tulia, wote ni mawakala wa shetani Samia.Nimemsikiliza bwana msigwa anasema eti ili kuiendeleza bandari inabidi wakope zaidi ya trilioni 6 sijui, hawawezi fanya hivyo sababu kuna mengi wanapaswa kufanya, ujenzi wa mashule, mabarabara, umeme kusambazwa.
Nikawaza sasa kama wanajiona hivyo hawawezi, si waachie ngazi wenye uwezo waisogeze tanzania mbele.. miaka 60 ya uhuru tunajisifia kujenga zahanati, unacheka na kusikitika kwa pamoja.
HAKUNA MPYA KWENYE BUNGE LA BIBI RANGO TUSUBIRI VILIO
Sahihi kabisa..... uwekezaji happy bandarini ndio njia pekee ya kuimarisha ufanisi wa bandari.Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa HGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai, kutuboreshea Bandari zetu.
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kumeisha anza kuibuka makundi sogozi yanayoleta uhayawani wa sentiments za kibaguzi, Mwarabu wa Oman anataka kumpa Bandari yetu Mwarabu wa Dubai hivyo Watanzania Wazalendo tusikubali!. Hawa ni muflis!.
Kule nyuma nilipopandisha pandisha bandiko hili Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama nilitoa angalizo hili
Angalizo hili ni muhimu sana kwenye mjadala wa leo mule Bungeni kwetu. Tunawategemea kuwasikia waheshimiwa wabunge wetu wakitanguliza mbele maslahi ya taifa letu katika kulijadili hili la DP World. Hatutarajii kabisa kutokea mbunge mmoja yoyote muflis kuipinga DP World kwa Uarabu wao, kwa hoja za kibaguzi za Mwarabu ni Mwarabu tuu, awe ni Mwarabu wa Oman, Mwarabu wa Dubai, Mwarabu wa Arabuni, Mwarabu wa Zanzibar, Mwarabu ni Mwarabu tuu ni wale wale na mambo yao ni yale yale..., watu wa type hii ni ma hayawani!, hatutegemei kabisa uhayawani huu ukaibuka kwenye mjadala huu!.
Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Paskali
Waliwahi kufanya kitu Gani?? HamnaSasa Wabunge wanafanya kitu gani?
Acha matusi na kashfa, heshimu kila mtu.Msigwa na wengine kina Musukuma ni mawakala wa shetani Samia.
Huyu nani..
Salaam ndugu Paskali, Asante kwa muhtasari huu, Ubinafsishaji sio dhambi, bali ni kiini na kichocheo cha Uchumi wa taifa, tafsiri ovu ya Ubinafsishaji Kwa Africa ni mikataba ya "kikupe" unyonyaji, Kelele zinazoendelea mitaani sasa ni matokeo ya historia dhidi ya mikataba mibovu Kwa Africa, Je wajua hata Kanali Gaddafi aliwai kukemea na kuonya Africa dhidi ya mikataba ya kitumwa, hata enzi za OAU, Mwaka 1967, Nkrumah alionya Africa dhidi ya mikataba ya kinyonyaji, Bila shaka Wabunge wetu watazingatia maslahi Pana ya nchi dhidi ya mkataba huu na DP World. Shukrani.Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa HGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai, kutuboreshea Bandari zetu.
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kumeisha anza kuibuka makundi sogozi yanayoleta uhayawani wa sentiments za kibaguzi, Mwarabu wa Oman anataka kumpa Bandari yetu Mwarabu wa Dubai hivyo Watanzania Wazalendo tusikubali!. Hawa ni muflis!.
Kule nyuma nilipopandisha pandisha bandiko hili Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama nilitoa angalizo hili
Angalizo hili ni muhimu sana kwenye mjadala wa leo mule Bungeni kwetu. Tunawategemea kuwasikia waheshimiwa wabunge wetu wakitanguliza mbele maslahi ya taifa letu katika kulijadili hili la DP World. Hatutarajii kabisa kutokea mbunge mmoja yoyote muflis kuipinga DP World kwa Uarabu wao, kwa hoja za kibaguzi za Mwarabu ni Mwarabu tuu, awe ni Mwarabu wa Oman, Mwarabu wa Dubai, Mwarabu wa Arabuni, Mwarabu wa Zanzibar, Mwarabu ni Mwarabu tuu ni wale wale na mambo yao ni yale yale..., watu wa type hii ni ma hayawani!, hatutegemei kabisa uhayawani huu ukaibuka kwenye mjadala huu!.
Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Paskali
Usinifundishe kuongea, siwezi kuheshimu shetani, wewe kama mpagani fanya hivyo, mimi nina dini.Acha matusi na kashfa, heshimu kila mtu.
Umegawanyika wewe tu, sisi tuko solid. Hata Yesu alikuwa na Yuda Iskarioti, tena Treasurer wake, lakini for sure Mitume hawakugawanyika.Watanzania tumegawanyika......!!
Ni maigizo kama maigizo mengine yeyote yale ya serikali yako,hakuna madhara yeyote yanayo weza kutokea kutoka kwenye mjadala huu wa bunge sababu kwa mujibu wa mkataba huo utahesabiwa kama ni mgogoro ambao itatakiwa ukatatuliwe Johannesburg , SA, kwa sababu mkataba ulisha sainiwa na ulisha kubalikaSasa Wabunge wanafanya kitu gani?
Jenga hoja, matusi na kashfa sio sehemu ya hoja ila ni viroja tu.Usinifundishe kuongea, siwezi kuheshimu shetani, wewe kama mpagani fanya hivyo, mimi nina dini.
Unajua Samia kapewa nini huko Dubai mpaka anatoa sadaka bandari yetu?
Shutup.
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.