Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Ndio maana mkatuita Wanyonge? Hii ni Slogan ya ajabu mnooooo. Ndugu yangu Kaka Paskali, unaaamini kabisa kuwa hatuwezi? Au hatujataka kuweza??
 
Nimemsikiliza bwana msigwa anasema eti ili kuiendeleza bandari inabidi wakope zaidi ya trilioni 6 sijui, hawawezi fanya hivyo sababu kuna mengi wanapaswa kufanya, ujenzi wa mashule, mabarabara, umeme kusambazwa.

Nikawaza sasa kama wanajiona hivyo hawawezi, si waachie ngazi wenye uwezo waisogeze tanzania mbele.. miaka 60 ya uhuru tunajisifia kujenga zahanati, unacheka na kusikitika kwa pamoja.
Msigwa na wengine kina Musukuma na Tulia, wote ni mawakala wa shetani Samia.
 
HAKUNA MPYA KWENYE BUNGE LA BIBI RANGO TUSUBIRI VILIO
IMG-20230609-WA0038.jpg
 
Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa HGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai, kutuboreshea Bandari zetu.

Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kumeisha anza kuibuka makundi sogozi yanayoleta uhayawani wa sentiments za kibaguzi, Mwarabu wa Oman anataka kumpa Bandari yetu Mwarabu wa Dubai hivyo Watanzania Wazalendo tusikubali!. Hawa ni muflis!.

Kule nyuma nilipopandisha pandisha bandiko hili Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama nilitoa angalizo hili

Angalizo hili ni muhimu sana kwenye mjadala wa leo mule Bungeni kwetu. Tunawategemea kuwasikia waheshimiwa wabunge wetu wakitanguliza mbele maslahi ya taifa letu katika kulijadili hili la DP World. Hatutarajii kabisa kutokea mbunge mmoja yoyote muflis kuipinga DP World kwa Uarabu wao, kwa hoja za kibaguzi za Mwarabu ni Mwarabu tuu, awe ni Mwarabu wa Oman, Mwarabu wa Dubai, Mwarabu wa Arabuni, Mwarabu wa Zanzibar, Mwarabu ni Mwarabu tuu ni wale wale na mambo yao ni yale yale..., watu wa type hii ni ma hayawani!, hatutegemei kabisa uhayawani huu ukaibuka kwenye mjadala huu!.

Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Paskali
Sahihi kabisa..... uwekezaji happy bandarini ndio njia pekee ya kuimarisha ufanisi wa bandari.

Ila hilo bunge la chama kimoja ni kimeo tu....
 
Salaam ndugu Paskali, Asante kwa muhtasari huu, Ubinafsishaji sio dhambi, bali ni kiini na kichocheo cha Uchumi wa taifa, tafsiri ovu ya Ubinafsishaji Kwa Africa ni mikataba ya "kikupe" unyonyaji, Kelele zinazoendelea mitaani sasa ni matokeo ya historia dhidi ya mikataba mibovu Kwa Africa, Je wajua hata Kanali Gaddafi aliwai kukemea na kuonya Africa dhidi ya mikataba ya kitumwa, hata enzi za OAU, Mwaka 1967, Nkrumah alionya Africa dhidi ya mikataba ya kinyonyaji, Bila shaka Wabunge wetu watazingatia maslahi Pana ya nchi dhidi ya mkataba huu na DP World. Shukrani.
 
Nilipo ona umeandika kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai kutuboreshea bandari zetu. Niliamua kuishia kusoma hapohapo kwasababu tayari nilikutazama nawewe kama mamluki. Sababu hii ni kama kuwahadaa waTanzania kwa lugha laini kwenye mambo ya msingi.
 
Sasa Wabunge wanafanya kitu gani?
Ni maigizo kama maigizo mengine yeyote yale ya serikali yako,hakuna madhara yeyote yanayo weza kutokea kutoka kwenye mjadala huu wa bunge sababu kwa mujibu wa mkataba huo utahesabiwa kama ni mgogoro ambao itatakiwa ukatatuliwe Johannesburg , SA, kwa sababu mkataba ulisha sainiwa na ulisha kubalika
 
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.

Wabunge wenyewe ndio hao akina Msukuma na Kibajaji ambao hata "the" kumtamka hawawezi halafu ndio wajadili MOU iliyoandikwa kiingereza kilichojaa maneno ya mikataba (contract jargons)??!--- hapo hakuna kuremba bali tumepigwa na kitu kizito, the only solution is to topple CCM through ballot box that is the only recourse in our hands.--You can't sell our country to other country in such paltry price.
 
Back
Top Bottom