Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

Bandari haijatushinda hivi ndivyo tunavyoishi da ila kwa kweli wakati wa TICTS ilitaka kutushinda sasa tumegutu.
 
Yes, tunao na tumewawezesha. Hii ndiyo akili yao ilivyowatuma ni kitu cha kushangiliwa.
 
TiCTS wapo bado wanaendesha bandari ya makontena au mkataba wao umekwisha?
 
Kumbe ni kweli Msigwa amegawa bahasha kwa waandishi wote wa habari.
Shame on you Paskal.
Bandiko la hovyo kuliko yote.

Adui wa taifa wewe
 
What is ngazi? Hii ni Nji kubwa, haitembezwi kama, ngazi. Unatoa Ilani, unaweka sera, unatekeleza. Lakini kila miaka 5 mnapiga kura, zinakuja Ilani zingine kupambanishwa, hazina mshiko zinakataliwa. Mnapiga kura tena baada ya miaka 5, Rais anafika kikomo anakuja mwingine na nguvu mpya kasi mpya. Wenzetu wako pale pale, wale wale, wanaanguka chini puuuu!! hivyohivyo. Nasikia sasa kuna sera mpya ya kuvunja Muungano hawawataki Mawaziri wa Kizanzibari, tusubirini 2030 tuone.
 
Kwanini Watanzania hawaliamini Bunge lao lenye wabunge waliowachagua kwa mbwembwe nyingi 2020?
 
Wasituingize kwenye mkataba mbaya.
 
Kama hii nchi kuna kundi la wachache wanaweza kuamua watakavyo ndio tutajua. Tunataka kuona uimara wa beacons za nchi hii.
 
Pasco katoka pangoni!

"Kama huwezi lazima usaidiwe"

Hili suala limenihuzunisha sana, wabunge tunawategemea,kama serikali imeshindwa wapewe wazawa waiendeshe!
Kusaidiwa ni muhimu ila cha msingi anayekusaidia anatoa masharti gani na yanatekelezeka p
Ni kweli hapo tunasaidiwa au jamaa anatafuta nae kazi?maana akija atakuwa analipwa kwa kazi anayofanya hivyo ni muhimu kuwajadili vizuri mkataba wao na si dhambi pia kuwajadili utamaduni wao na tabia zao,Kwani hata ktk baadhi ya ajira watu kuangalia Hadi kabila lako na asili yako ili kupata kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…