Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Mambo mengi hayako wazi. Yameandikwa katika namna ya kutoa fursa ya kuibua migogoro mwekezaji akiamini kuwa atashinda. Nia inaweza kuwa njema lakini Mkataba mbovu saaaaana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati aliwahi kushauriwa na Marehemu avute bangi tena akamsisitizia atafute ya Njombe ndiyo kali,inawezekana alifuata ushauri huo na sasa bangi hiyo imemuwehusha ndiyo maana anapuyanga sanaNimemsikiliza Mbarawa hadi Sasa, ni wazi kuwa one Party is much informed than the other Parties. Ni Mkataba wa kipuuzi kabisa, in short hauna manufaa yoyote zaidi ya ujanjaujanja tu. By the way, how comes utekelezaji wa mkataba uanze pasipo kuridhiwa. Professor mzima anasoma taarifa ya kipuuzi kabisa. Shame on him!
Nukuu basi alichokisema tukuelewe, usitulishe matango pori.Nimemsikiliza Mbarawa hadi Sasa, ni wazi kuwa one Party is much informed than the other Party. Ni Mkataba wa kipuuzi kabisa, in short hauna manufaa yoyote zaidi ya ujanjaujanja tu. By the way, how comes utekelezaji wa mkataba uanze pasipo kuridhiwa. Professor mzima anasoma taarifa ya kipuuzi kabisa. Hauna fact zozote. Shame on him!
Kwani kufanya hivyo lazima uhitaji Mwekezaji?Tutegemee faida hizi:
1) kutoka uwiano wa masaa 12 ya sasa kulishusha kontena moja kutoka kwenye meli hadi kufikia uwiano wa saa 1 tu.
Kabisa, hakuna mbunge yoyote wa CCM wa kuzuia matakwa ya serikali. Nakumbuka walivyopitisha mkataba wa gas kwa hati ya dharura, kisha Magufuli alivyokuja akawa anaongea kwa sauti ya unyonge kuwa gas sio yetu imeshauzwa.Hamna mbunge pale, watampitisha huu upumbavu Kwa 100%
Mkuu kwa mara ya kwanza ninakusoma halafu sijaelewa dhima.Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa.
IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai, kutuboreshea Bandari zetu.
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kumeisha anza kuibuka makundi sogozi yanayoleta uhayawani wa sentiments za kibaguzi, Mwarabu wa Oman anataka kumpa Bandari yetu Mwarabu wa Dubai hivyo Watanzania Wazalendo tusikubali!. Hawa ni muflis!.
Kule nyuma nilipopandisha pandisha bandiko hili Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama nilitoa angalizo hili
Angalizo hili ni muhimu sana kwenye mjadala wa leo mule Bungeni kwetu. Tunawategemea kuwasikia waheshimiwa wabunge wetu wakitanguliza mbele maslahi ya taifa letu katika kulijadili hili la DP World. Hatutarajii kabisa kutokea mbunge mmoja yoyote muflis kuipinga DP World kwa Uarabu wao, kwa hoja za kibaguzi za Mwarabu ni Mwarabu tuu, awe ni Mwarabu wa Oman, Mwarabu wa Dubai, Mwarabu wa Arabuni, Mwarabu wa Zanzibar, Mwarabu ni Mwarabu tuu ni wale wale na mambo yao ni yale yale..., watu wa type hii ni ma hayawani!, hatutegemei kabisa uhayawani huu ukaibuka kwenye mjadala huu!.
Naendelea kusisitiza, ikitokea wewe huwezi jambo fulani, lazima utasaidiwa tuu!, utake kusaidiwa, utasaidiwa, usitake kusaidiwa, utasaidiwa!, mpaka pale utakapoweza kujisaidia! Watanzania tujifunze kujikubali kuwa kuna vitu hauwezi, na tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Paskali
Kaka P kwenye ubora wakoWanabodi,

Hadi Mayalla?!Wanabodi,

ExactlyNafkiri kila mtu Ana haki ya kusimamia na kusimamia pale anapoamini kuliko kuaminishwa.
Ajabu sana,na vyuo vinatema wasomi wa PhD kila uchao sekta mbalimbaliMungu katupa rasilimali kedekede, ila kutumia mpaka wenzetu watupe msaada
Si yupo TICTS, kashindwa.Kwani kufanya hivyo lazima uhitaji Mwekezaji?
Sijaona cha kunukuu madam, nimeona ni chenga chenga tu. Mfano, anaposema utekelezaji wa mkataba umeshaanza halafu baadaye anasema utekelezaji wa mkataba utafanyika baada ya kuridhiwa na Bunge, nani atalipa gharama za awali za utekelezaji wamkataba iwapo Bunge halitaridhia? Why lugha ya usuluhishi iwe kiingereza tu ilhali sera ya nchi ni kwenda na kiswahili? Kwamba Tanzania itabidi ikodi wanasheria ili wakatetee Tanzania wakati wa migogoro?Nukuu basi alichokisema tukuelewe, usitulishe matango pori.
Watsnzania watanufaika kwa uendeshaji bandari kisasa.Wakae wakijua Tanganyika not for sale...
Binafsi Sijakataa, isipokuwa vipengele vya mkataba viwe na win win na muda usizidi miaka 20 na wakizingua maamuzi yafanyike kwenye mahakama zetu.Watsnzania watanufaika kwa uendeshaji bandari kisasa.
Umeshaanza kuongelewa siyo kutekelezwa.Sijaona cha kunukuu madam, nimeona ni chenga chenga tu. Mfano, anaposema utekelezaji wa mkataba umeshaanza halafu baadaye anasema utekelezaji wa mkataba utafanyika baada ya kuridhiwa na Bunge, nani atalipa gharama za awali za utekelezaji wamkataba iwapo Bunge halitaridhia? Why lugha ya usuluhishi iwe kiingereza tu ilhali sera ya nchi ni kwenda na kiswahili? Kwamba Tanzania itabidi ikodi wanasheria ili wakatetee Tanzania wakati wa migogoro?
Sababu zinazoweza kuvunja mkataba hazijawa wazi?
Maelezo ya Mbarawa hayajaeleza mkataba/ ushirikiano huo ni wa muda gani? Mapungufu ni mengi sana kuliko hizo presumptive benefits zinazotajwa.
Walijua wataingia huu mkataba kinyemela bila watanzania kuufuatilia, sasa kilichotokea kwa mwamko wa watanzania ghafla hawakukitegemea, Mbarawa amechanganyikiwa.Azimio bado halina majibu ya maswali ya Watanzania yanayoulizwa mitandaoni. Maelezo ni ya kufunga funga mno. Kuna mambo mengi ya kuhoji ikiwa mkataba ni Kati ya Bandari na DP World au Serikali na DP World. In short, mkataba huu ni pumba kabisa.
😅😅😅😅marehemu alikua kiboko aisee.Kuna wakati aliwahi kushauriwa na Marehemu avute bangi tena akamsisitizia atafute ya Njombe ndiyo kali,inawezekana alifuata ushauri huo na sasa bangi hiyo imemuwehusha ndiyo maana anapuyanga sana