cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hata wee hujui?? Tumepigwaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HGA maana yake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wee hujui?? Tumepigwaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HGA maana yake nini?
Yaani Coca unacheka msibani kweli?Hata wee hujui?? Tumepigwaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nifanyejee?? Wee mwenyewe angalia wabunge wanavyoleta mzaha hapa, khaaaaahYaani Coca unacheka msibani kweli?
Tumeuzwa na wajukuu kabisa
Toka kuzaliwa kwako umesaidiwa na mwanamke, hata kuja kwako duniani ulikuwa ndani ya tumbo la mwanamke, sijui wewe wa miezi saba au tisa.Mimi hata kama siwezi, mwanaume siwezi saidiwa, nitashika tu hata kwa mkono.
Toka kuzaliwa kwako umesaidiwa na mwanamke, hata kuja kwako duniani ulikuwa ndani ya tumbo la mwanamke, sijui wewe wa miezi saba au tisa.
Okay. Gotcha.Read between the lines.... Kunakuwaga na hidden agenda between what you see. Sijataja mwanamke kwenye nilichoandika.
Kwa hiyo ukiamini Tanzania ipo kwenye bara la Asia uachwe tu?Kuna imani na reality.Kuna mambo huaminishwi ni jinsi yalivyo hakuna mwanya wa kutafsiri.Ukweli ni ukweli na uzushi ni uzushi.Utachagua tu upande.Nafkiri kila mtu Ana haki ya kusimamia na kusimamia pale anapoamini kuliko kuaminishwa.
Utekelaji ndo nini?Bado hakuna mkataba wa utekelaji
Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa.
IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni ya DP World ya Dubai, kutuboreshea Bandari zetu.
Nawatakia waheshimiwa wabunge wetu mjadala na majadiliano mema kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Paskali
Vivo hivyo usivyotaka watu kuachwa kwa wanachokiamini na wao hawatakuacha kwa unachokiamin.Kwa hiyo ukiamini Tanzania ipo kwenye bara la Asia uachwe tu?Kuna imani na reality.Kuna mambo huaminishwi ni jinsi yalivyo hakuna mwanya wa kutafsiri.Ukweli ni ukweli na uzushi ni uzushi.Utachagua tu upande.
Naomba mnikumbushe ni suala gani lililoletwa Bungeni ili lijadiliwe kisha halikupitishwa na wabunge ??! Tangu bunge la 1995 na kuendelea !Khaa, wabunge wenyewe sasa wala hawapo serious kama tunavyodhania kuwa suala hili ni nyeti.
"Something fishy" yes, Samia kahongwa kitu akatutoa sadaka, iko siku atalipa, hata mbele za Mungu.Nimefuatilia mjadala huu mwanzo mwisho, Bunge limeridhia, maslahi ya taifa yamezingatiwa.
Hongera Bunge letu
Hongera Wabunge wetu
Hongera Spika Tulia.
P
Yawezekana, hisia zangu kuwa hawa DP wanaweza kuwa wametapeliwa huko na labda na huku! Zikawa za mashaka!!!Tanzania ni nchi sovereign, Dubai sio sovereign, Government inawezaje kuingia mkataba wa kiserikali na taasisi isiyo sovereign?. Nchi ni UAE na sio Dubai!.
Article 23(4) imesomwa kweli?Mkuu pascal KWA hoja yAko unataka kutuambia mkataba upitishwe au umeshapitishwa?? Akili ni nywele,ubaguzi hauna nafasi.Cha mwingi watu wajengewe hoja.
Article 23(4) umeisoma na kuielewa? Mbona kama imerukwa?Ukweli ni kwamba, kinachoongelewa siyo mkataba wa kuendesha, kukodi au kuuaza bandari. Kinachoingelewa ni mkataba wa maridhiano ya ushirikiano wa kimaendeleo baina ya nchi mbili.
Umeelewa?