Mshangai
JF-Expert Member
- Feb 16, 2008
- 468
- 1,086
Hili jambo nilishuhudia nchi moja Ulaya na matukio hayo baadhi ya nchi Afrika yamekuwapo. Wananchi wamekuchagua (au wamewekewa) mwakilishi wao kuwasemea Bungeni, lakini badala ya kutimiza wajibu wako kwa waliokutuma unaenda kutumika kupitisha vitu ambavyo unajua kwa uwazi kabisa watu hawataki; mfano ni huu wa Bandari.
Je, unategemea tufanyeje sisi ili uelewe kuwa hatufurahishwi na utendaji huo?
Nadhani sasa tuwapige na mayai viza au nyanya zilizooza tukipishana nanyi ili mkanukiwe huko Bungeni au mkienda kwenye mahoteli na mabaa kula bata.
Tumefika kikomo cha uvumilivu kwa matendo yenu ya hovyo kinyume na ahadi zenu.