- Thread starter
- #21
Alijaribu na tulitarajia wahunge wangine wazalendo wangemuunga mkono. Lakino wote wakaufyata hata akina Lusinde viromoromo hatuwasikiiiYupo Msukuma Kasheku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijaribu na tulitarajia wahunge wangine wazalendo wangemuunga mkono. Lakino wote wakaufyata hata akina Lusinde viromoromo hatuwasikiiiYupo Msukuma Kasheku
wepi hao?So kuna wale SSM waliojifanya machinga wakipongeza zoezi
Kwani kuna wabunge?Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.
Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.
Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.
Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.
Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?
Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?
Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.
Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?
Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?
CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.
Jamaa kareem
nani kakuambia wabunge ni watetezi wa wanyonge?mbona mmepitishiwa matozo ya ajabu ajabu na hao hao unaosema ni watetezi wa wanyonge.ki msingi wamachinga walikuwa ni bugdha kwa miji yetu hivyo kwa maoni yangu mm naona ni sasa tu wapangwe maeneo sahihi na ss tutawafuata huko.maeneo kama barabara ya uhuru,msimbazi pamoja sehemu nyingine kwa kweli ilikuwa kero si tu kwa watembea kwa miguu bali hata vyombo vya moto.kuhusu kuharibiwa biashara zao nadhani ni watendaji ambao hawana maadili ya kazi yao.wanatakiwa kutekeleza jambo hili kiustaarabu ili kwa kweli mitaa yetu iwe vzr na pia iwe safi kama wenzetu kwingineko.Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.
Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.
Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.
Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.
Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?
Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?
Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.
Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?
Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?
CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.
Jamaa kareem
Wabunge wa KUTEULIWA hawaezi kumtetea MWANANCHI, wanazitetea MAMLAKA zilizowateua tu.Kweli unaamini tuna Wabunge
Hahahha sasa mtu anaona kitu kiko wazi kabisa halafu anataka muanzishe ligi, hapana Mpwa.....Uko kwa kutoa maoni tu na kusepa au sio?
Ccm wako kwa interest zao si interest za wananchi.Mbona wabunge wao wote kimya? haiwahusu?
Na reserve hii comment 2025. Watadanganywa kweli na kura watapigaUsijali tutakuna nao 2025 tunaandaa takrima zao, watapozwa tu machungu haya usiwe na wasi mtoja hoja - tupo pamoja nao hatuwezi kuwaacha.
Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.
Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.
Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.
Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.
Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?
Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?
Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.
Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?
Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?
CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.
Jamaa kareem
Kwakweli imenishangaza sana. Ukimya huu unaonekana wabunge hawana maana yoyote au wananchi ndio hatuna maana yoyote
Nani atatetea uchafu na kutolipa kodi, nusababisha miji kunuka , na yote kwa ajili ya kupata sifa za kisiasa!Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.
Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.
Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.
Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.
Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?
Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?
Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.
Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?
Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?
CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.
Jamaa kareem
Kweli kwanza machinga wengi vibaka tuNani atatetea uchafu na kutolipa kodi, nusababisha miji kunuka , na yote kwa ajili ya kupata sifa za kisiasa!
Wamepigwa ganzi nchi nzima. Akina Bashe hakuna tenaLazima wawe kimya hawakuwa chaguo la wananchi wapo kwa ajili ya kutetea masrahi ya walio waweka madarakani
Wahuni tu wale. Wanajifanya wao mambo ya nchi hii hayawahusu. Sasa siasa imepiga hodi kwao wasipate hata mmoja wa kuwatetea.Wamachinga wameteswa sanaView attachment 1982762
WABUNGE wenyewe Hawajitambui kwani Waliwekwa tuNdugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.
Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.
Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.
Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.
Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?
Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?
Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.
Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?
Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?
CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.
Jamaa kareem
bunge la mwendazake na Samianani kakuambia wabunge ni watetezi wa wanyonge?mbona mmepitishiwa matozo ya ajabu ajabu na hao hao unaosema ni watetezi wa wanyonge.ki msingi wamachinga walikuwa ni bugdha kwa miji yetu hivyo kwa maoni yangu mm naona ni sasa tu wapangwe maeneo sahihi na ss tutawafuata huko.maeneo kama barabara ya uhuru,msimbazi pamoja sehemu nyingine kwa kweli ilikuwa kero si tu kwa watembea kwa miguu bali hata vyombo vya moto.kuhusu kuharibiwa biashara zao nadhani ni watendaji ambao hawana maadili ya kazi yao.wanatakiwa kutekeleza jambo hili kiustaarabu ili kwa kweli mitaa yetu iwe vzr na pia iwe safi kama wenzetu kwingineko.