Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
washauri wa jiwe ni hawa hawa akina Samia na watendaji ni wale wale.
Jiwe alikuwa hashauriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
washauri wa jiwe ni hawa hawa akina Samia na watendaji ni wale wale.
Asante sana mkuu kwa mwangaza mwananaSwali lako ndio has limebeba haiba ya Bunge letu! Kama inabidi Rais kurudi kuchagua mawaziri waliowahi kufutiwa utenguzi. Kama Rais inabidi ateue kwanza wabunge na kisha kuwapa uwaziri. Inabidi mbunge wa upinzani ajiuzulu, ajiunge na CCM, ateuliwe (sio apite kwenye kura za maoni), kisha ashinde uchaguzi na kisha kuteuliwa kuwa waziri!!
Bunge letu linajali idadi badala ya ubora wa wabunge! Lakini mbaya zaidi, Bunge letu sio mhimili unaojitegemea. Kuna mhimili ulio na mizizi mirefu, ndio huamua mambo haya!
Jambo hili ni la mzizi mkuu na imekuwa kawaida kwa mzizi huo kuamua mambo. Unadhani zile 20,000 za kitambulisho kisichokuwa na taarifa za mmiliki kililetwa na wabunge?? Waliohoji swala hilo walikuwa ni wapinzani, hakuna CCM aliyeonesha hata dukuduku bali walipongeza kuwa ni “maono”. Mzizi huo tena umeamua swala la machinga - hakuna atayelisema bali likikamilika atapongezwa mkuu kwa “maono” ya kupanga. Kisha Bunge litafanya azimio la kumpongeza rasmi!!
Bongo nyoso!!
Hapana, tuulizane Yale yenye maana ya kutaka uelewa, sio Yale ya kebehi. Samahani kama nilijibu vibayaKwahiyo haturuhusiwi kuuliza maswali maana tutaonekana tunaleta mabishano mkuu ?
Haina shida mkuuHapana, tuulizane Yale yenye maana ya kutaka uelewa, sio Yale ya kebehi. Samahani kama nilijibu vibaya
🤣🤣🤣bongo bahati mbayaSwali lako ndio has limebeba haiba ya Bunge letu! Kama inabidi Rais kurudi kuchagua mawaziri waliowahi kufutiwa utenguzi. Kama Rais inabidi ateue kwanza wabunge na kisha kuwapa uwaziri. Inabidi mbunge wa upinzani ajiuzulu, ajiunge na CCM, ateuliwe (sio apite kwenye kura za maoni), kisha ashinde uchaguzi na kisha kuteuliwa kuwa waziri!!
Bunge letu linajali idadi badala ya ubora wa wabunge! Lakini mbaya zaidi, Bunge letu sio mhimili unaojitegemea. Kuna mhimili ulio na mizizi mirefu, ndio huamua mambo haya!
Jambo hili ni la mzizi mkuu na imekuwa kawaida kwa mzizi huo kuamua mambo. Unadhani zile 20,000 za kitambulisho kisichokuwa na taarifa za mmiliki kililetwa na wabunge?? Waliohoji swala hilo walikuwa ni wapinzani, hakuna CCM aliyeonesha hata dukuduku bali walipongeza kuwa ni “maono”. Mzizi huo tena umeamua swala la machinga - hakuna atayelisema bali likikamilika atapongezwa mkuu kwa “maono” ya kupanga. Kisha Bunge litafanya azimio la kumpongeza rasmi!!
Bongo nyoso!!
wachumia tumbo tuTazania kuna wabunge? wengi wanajua hawajachaguliwa na wananchi,, ndio maana unaona kimyaaa... na wengi wao wanaomba noti ziwekwe sura ya mama samia ili tu kumsifia wapewe vyeo
Hakuna mbunge wa kutetea uchafu
Hao siyo wabunge waliochaguliwa na wananchi. Walitwaa ubunge kwa nguvu.Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.
Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.
Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.
Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.
Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?
Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?
Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.
Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?
Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?
CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.
Jamaa kareem
Msukuma pekee ameendelea kusemaNdugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.

Alijaribu akitarajia kupata sapoti. nae kaona isiwe tabuMsukuma pekee ameendelea kusema
wellWabunge ndio hao hao waliotunga sheria za kukataza watu kufanya biashara sehemu zisizokuwa rasmi! Hivyo sitegemei wabunge wenye akili na busara kuzipinga sheria walizotunga wao wenyewe.
Huu ndio wakati muafaka wa kuhakikisha kuwa yale maeneo mahususi yaliyotengwa kwa kufanyia biashara yanatumika, badala ya wajanja kuwatumia wamachinga kama kitega uchumi chao kwa kubadilisha viwanja sehemu za makazi kuwa masoko!! Sijui katika majiji mengine lakini hapa Kinondoni Watu ambao wameshindwa kuviendeleza viwanja vyao vya makazi[ residential plots] wamevigeuza kuwa masoko na kutoza kodi ambayo ingetakiwa kuchukuliwa na halmashauri lakini inachukuliwa na walinzi wa viwanja hivi. Huu ni wakati wa kusafisha jiji na kuongezea halmashauri mapato.
Rais Samia kwa nia nzuri ametenga fedha za kutosha kufanikisha zoezi la kuwahamisha hawa wamachinga ili wafanye biashara zao sehemu rasmi kufuatana na sheria za nchi. Ili zoezi hili lifanikiwe ni lazima inabidi Serikali kuu ihakikishe kuwa madiwani, wenyeviti wa Serikali za mitaa na wajumbe wao wanawajibika katika sehemu zote ambazo wamachinga hawataondoka na kwenda kwenye sehemu walizotengewa. Kama haitafanyika hivyo hizo fedha zilizotengwa hazitafanikisha lengo kwani hawa wamachinga watarudi mitaani tena muda si mrefu na hivyo hili zoezi halitakuwa sustainable. Wahusika lazima wawajibike for failure katika sehemu zao.
Na hapo ndipo tunautwaa uzombiUsijali tutakuna nao 2025 tunaandaa takrima zao, watapozwa tu machungu haya usiwe na wasi mtoja hoja - tupo pamoja nao hatuwezi kuwaacha.
WAMACHINGA WAONDOKE. HII NCHI HAIWEZI KUENDESHWA KAMA KUNDI LA WAHUNI. YANI KABISA MTU AFANYE BIASHARA KWENYE ENEO LA HIFADHI YA BARABARA? KUWENI NA AIBUNdugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.
Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.
Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.
Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.
Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?
Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?
Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.
Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?
Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?
CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.
Jamaa kareem
Hao vibaka waliopatikana kwa mtutu wa bunduki na kura za kwenye mabegi ndiyo unawaita wabunge? Wanajua hata ikifika 2025 mtindo ni uleule hawahitaji kura za kwenye sanduku, bunduki zitawarudisha bungeniNdugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.
Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.
Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali kwa kuwataka wahamie maeneo mengine na waache kupanga biashara zao kwenye hifadhi za barabara.
Pamoja na taratibu zote ambazo zinaendelea kumeonekana uvunjwahi wa haki za wafanyabiashara hawa ikiwemo kuharibiwa biashara zao na mitaji yao. Huku wamachinga wasijue la kufanya na hakuna aliyeko upande wao.
Ile CCM ya wanyonge iko wapi? Wale wabunge na wapiga kura wao umoja mbona hauonekani?
Je, ndio kusema urafiki wa wabunge hawa na wananchi wao upo tu wakati wa kupiga kura?
Dar es Salaam pekee kuna wabunge wasiopungua 8. Mwanza na maeneo mwngine wahunge woote ni wa CCM.
Hiki kigugumizi cha kutoishauri Serikali namna bora ya kuwahamisha huku tukipunguza madhara makubwa kwa wajasirianali hawa kinatokana na nini?
Ndio kusema wao hayawahusu as long as account zao zinasoma kila mwezi?
CCM kalaghabaho. Waliingia bila kuchaguliwa na wananchi kwa hiyo msitarajie msaada wowote wenye maana kutoka kwao.
Jamaa kareem
Uchaguzi gani umefanyika mpaka hawa kuitwa wapiga kura. Hakujawahi kuwepo uchaguzi bali uvamizi. Machinga wasituchafulie mji bwana waende zao. Machinga mtaji wake huwa laki mbili hawa wa millioni nne mpaka wanajenga mabanda ya 1m pasiporuhusiwa. Ila makala kawaweza. Taasisi isiyowafukuza italambwa juu kwa juuKwakweli imenishangaza sana. Ukimya huu unaonekana wabunge hawana maana yoyote au wananchi ndio hatuna maana yoyote