Wabunge wote wa CCM wameshindwa kutetea maslahi ya wamachinga nchi nzima. Nini maana yake?

Kwani kuna wabunge?
 
nani kakuambia wabunge ni watetezi wa wanyonge?mbona mmepitishiwa matozo ya ajabu ajabu na hao hao unaosema ni watetezi wa wanyonge.ki msingi wamachinga walikuwa ni bugdha kwa miji yetu hivyo kwa maoni yangu mm naona ni sasa tu wapangwe maeneo sahihi na ss tutawafuata huko.maeneo kama barabara ya uhuru,msimbazi pamoja sehemu nyingine kwa kweli ilikuwa kero si tu kwa watembea kwa miguu bali hata vyombo vya moto.kuhusu kuharibiwa biashara zao nadhani ni watendaji ambao hawana maadili ya kazi yao.wanatakiwa kutekeleza jambo hili kiustaarabu ili kwa kweli mitaa yetu iwe vzr na pia iwe safi kama wenzetu kwingineko.
 
Bata wanalopewa na Serikali kweli wakusilize wewe kajamba nani?.

Wapiga kura jukumu huishia kwenye uchaguzi, wakishaanza kumtumikia mlipa posho na marupurupu nyie wekeni tu mikono kichwani msubiri uchaguzi ujao.
 
Usijali tutakuna nao 2025 tunaandaa takrima zao, watapozwa tu machungu haya usiwe na wasi mtoja hoja - tupo pamoja nao hatuwezi kuwaacha.
Na reserve hii comment 2025. Watadanganywa kweli na kura watapiga
 
Polepole na Msukuma walijaribu wakazodolewa kila Kona na wale viongozi wa chama.

Wengi wanaogopa panga la Hangaya uchaguzi ukifika.
Hivyo wanalinda ugali wa familia na siyo maslahi ya wapinga Kura.
 

Wapo kwa ajili ya kutetea masrahi ya watawala
 
Nani atatetea uchafu na kutolipa kodi, nusababisha miji kunuka , na yote kwa ajili ya kupata sifa za kisiasa!
 
WABUNGE wenyewe Hawajitambui kwani Waliwekwa tu
 
bunge la mwendazake na Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…