Wabunge wote wa CCM wameshindwa kutetea maslahi ya wamachinga nchi nzima. Nini maana yake?

Polepole na Msukuma walijaribu wakazodolewa kila Kona na wale viongozi wa chama.

Wengi wanaogopa panga la Hangaya uchaguzi ukifika.
Hivyo wanalinda ugali wa familia na siyo maslahi ya wapinga Kura.
As long as mambo yao yanaenda vizuri hawana habari Hili liwe funzo kwa watanzania wote.
 
Ccm wako kwa interest zao si interest za wananchi.
Hiki ni kitu watu walitakiwa wakijue
nadhani somo limewaingia. Lilianza kwa wanasiasa, likaenda kwa wafanya biashara wakubwa sasa imekuja kwa hawa wahuni wamachinga. Tusubiri somo kwa wakulima na watumishi wa umma walimu na polisi wakikosa mishahara
 
Kumbe mlikuwa hamjui eh!? Hiyo ndiyo ccm bhaana unatumika kama gogo la chooni. Akisha kunya haangalii nyuma. Kwanza nyie vijana ndio mnaotakiwa kuteswa sana ili mfungue akili msaidie wazee kama akina mbowe wanaolazimishwa wafungwe kwa kuwatetea. Mteswe sana hadi mfungue akili. Siyo kila siku wazee ndio wanaoteswa kwa niaba yenu
 
Vijana wa hovyo hasa wanavyuo mwaka huu ndio wataipata. Si kqa mikopo fyongo kama ile
 
Kwa sasa sisi CCM mtuache kabisa kwa sababu tupo kwenye kutengeneza tatizo, baadaye tuweze kulitatua tupate ujiko utaotusaidia kwenye kura...
 
Vijana wa hovyo hasa wanavyuo mwaka huu ndio wataipata. Si kqa mikopo fyongo kama ile
Jibu: wateseke sana hadi wajitambue! imefikia hadi tunaona vijana wenye nguvu wanaishia kujipendekeza na kuungana na mfumo kandamizi! Wateswe sana!
 
"Condom inatumika mara moja tu"
 
Jibu: wateseke sana hadi wajitambue! imefikia hadi tunaona vijana wenye nguvu wanaishia kujipendekeza na kuungana na mfumo kandamizi! Wateswe sana!
tayari baadhi ya makundi wameshapata somo. Ngoja ile namba waliyosema tuendelee kuisoma.
 
Ni kwa sababu machinga wanawakilisha kundi kubwa la watanzania. Hata kama we ni Mbunge wa Nkasi bado kuna wamachinga Dar wa kutoka Nkasi
Hivi Tafsiri ya Machinga ni nini? Yaani dhana nzima ya Machinga yangu huko ilikoanzia!
Je, ni halali wao kujenga vibanda barabarani?
Je, Ukiwa Machinga ndio unyime haki za wengine kama vile watembea kwa miguu?
Na mengine mengi kama vile kupanga vitu mbele ya duka la mtu mwingine n.k
 
Wamedekezwa na hawa hawa waliowapuuza sasa
 
Hilo ndilo jibu la maswali yangu?

Anyway, asante na Jumaa Kareem[emoji120]
Jipu langu liko indirect. Kuwa hawana haki bali wamefanywa hivyo na hao wanaotaka kuwatimu kwa kuwatumia mtaji wa kisiasa.
 
Jipu langu liko indirect. Kuwa hawana haki bali wamefanywa hivyo na hao wanaotaka kuwatimu kwa kuwatumia mtaji wa kisiasa.
Wabunge ndio wanataka kuwatimua au sheria ndio inafuatwa? Mf. Sheria ya Road reserves.

Jiwe kaiharibu sana hii nchi aisee. Pole sana kwa Rais wa sasa na watendaji wake wote.
 
Wabunge ndio wanataka kuwatimua au sheria ndio inafuatwa? Mf. Sheria ya Road reserves.

Jiwe kaiharibu sana hii nchi aisee. Pole sana kwa Rais wa sasa na watendaji wake wote.
washauri wa jiwe ni hawa hawa akina Samia na watendaji ni wale wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…