Wabunge wote wa CCM wameshindwa kutetea maslahi ya wamachinga nchi nzima. Nini maana yake?

Wahuni tu wameweka hadi maduka njiani unakuta duka linathamani ya milioni 8-10 anajiita Machinga
 
Hao vibaka waliopatikana kwa mtutu wa bunduki na kura za kwenye mabegi ndiyo unawaita wabunge? Wanajua hata ikifika 2025 mtindo ni uleule hawahitaji kura za kwenye sanduku, bunduki zitawarudisha bungeni
Au wanaona aibu kukutana na watu waliokuwa hawakuwachagua
 
jiulize wale wote waliokuwa wanapinga barakoa na chanjo ila sasa wanavaa barakoa na chanjo wamepiga.
Inasikitisha sana mishipa ya shingo iliwatoka mpaka wanaoga nyungu mbele ya makamera. Leo wamegeuka kama vile sio wao
 
WAMACHINGA WAONDOKE. HII NCHI HAIWEZI KUENDESHWA KAMA KUNDI LA WAHUNI. YANI KABISA MTU AFANYE BIASHARA KWENYE ENEO LA HIFADHI YA BARABARA? KUWENI NA AIBU
Wawaondoshe hao wahuni wanaotumika kisiasa kila miaka
 
Tunakaribia kuchoka. Huko ccm chama la nyumbani kumechoka vibaya kila mtu analalamika. Tuendelee hivi hivi.
 
Kwanza katika suala la wamachinga, wananchi wenyewe wamegawanyika mara mbili, wapo wananchi ambao wanataka wamachinga waondolewe mjini kwa kuwa wanacahfu mjini bila kujiuliza mji msafi wa nini wakati hauna amani.
Wengine wanataka wamachinga wabaki mjini na biashara zao huku taswira ya mji ikiwa haieleweki.
Somo linalopatiklana hapo kulingana na hizo pande mbili, ni kujikuta sasa watanzania bila ya kufichana tumeingia katika zama kuweza kujigawa pande mbili.
Sisi wenyewe raia hatujuia cha kufanya, ndo wabunge na wao wanafanya kinachowahusu.
 
Well said
 
penye mgawanyiko wa kusettle mambo ni viongozi
 
Kweli unaamini tuna Wabunge? Au Genge la wahuni wa CCM? Waliwekwa pale kwa maana Fulani ili mpira uongezwe muda kutoka dakika 90 za kawaida hadi ikiwezekana Dakika 450./ila Mungu fundi nyie....
Yule kichaa ambaye Dialo alimsema angejiongezea muda hata penalti zote angepiga mwenyewe
 
Wabunge wa CCM hawana sababu yoyote ya kuwatetea Machinga kwasababu wanajua waliingia na wataingia tena bungeni kwa kura feki kama walivyofanya October 2021.
 
Machinga hawakuwa mkakati wa ccm bali Mh. Lowasa kupitia (Machinga Mzoefu) uliodukuliwa.
 
Ukwel Ni huu hatuna kiongozi wa ngazi yoyote ambae anazungumza lugha inayozungumzwa na watu, kimsingi shule ipo mbali na Kijiji[emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…