Sio kwamba hawashituku, tatizo ni ubinafsiPoverty Circle!
Nchi maskini inafanya mambo yanayoendelea kufanya umaskini kukomaa na hawashtuki until external push.
The beautiful ones are not yet born alikuwa sahihi kabisa hatujapata viongozi wazuri wanaojali masirahi ya waafrika wenzao hasa Tanzania baada ya kuondoka mwl Nyerere.Tunatengeza milionea 300,kila miaka 5.Inasaidiaje mkuu ebu tueleweshe?
Na hao 300
80% sio chaguo la watanzania
Hakuna anayeweza kuikataa ilanaongelea kiujumla kama kuwa na wabunge wote hao ni tija kwa tifa. Siongelei wawe chadema au cuf, yani si kwa muktadha wa vyama vya siasa.
Hao ndio wanakula KEKI YA TAIFA.Nimekaa nikawaza, Bunge la JMT lina wabunge zaidi ya 300 yani wabunge 264 wa kuchaguliwa na zaidi ya 100 wa viti maalum, maana nimesikia CCM imepeleka majna 94 ya wabunge wa viti maalum, chadema wana nafasi 19, na CUF 3.
Kila mbunge anakula zaidi ya milion 10, bado wawape zile tablet, bado magari, bado posho, bado BIMA. Hivi haiwezekani tukawa na wabunge wachache kweli?
Nchi masikini nadhani tatizo siyo pesa bali ni vipaumbele. Maana malupulupu ya Mbunge mmoja, yanaweza kununua madawati na kuboresha madarasa ya shule.
Yani nchi kama Marekani na ukubwa wake wote, na pesa iliyo nayo ina members wa congress 535 tu ambapo 100 wanaingia kwenye Senate, na 435 house of representatives.
Kabisa, kumuingiza mtu bungeni wakati hajapigiwa kura na wananchi ni kuvunja demokrasia.Hata mimi sioni umuhimu wa hivyo viti, kama ni kuwawezesha wawe wanawapitisha huko kwenye vyama wakagombee
Na kibaya zaidi watu wenye akilihawatakiwi nchi hii:Kabisa, kumuingiza mtu bungeni wakati hajapigiwa kura na wananchi ni kuvunja demokrasia.