Wabunge zaidi 300 - nchi masikini kweli zina pesa nyingi

Wabunge zaidi 300 - nchi masikini kweli zina pesa nyingi

Nchi hii ni ya wapigaji tu wa pesa kama tungewapata watu kama Thomas Sankara nchi ingekuwa imepiga hatua kubwa sana ktk nyanja ya afya,elimu na kilimo.
Kuna mwandishi wa vitabu anaitwa Ayi Kwei Armah aliandika kitabu kimoja kinachoitwa The beautiful ones are not yet born alikuwa sahihi kabisa hatujapata viongozi wazuri wanaojali masirahi ya waafrika wenzao hasa Tanzania baada ya kuondoka mwl Nyerere.
Umenikumbusha mbali aisee,
 
Hivi Thomas Sankara alikuwa bora kuliko Nyerere ?
 
Ilifaa kila mkoa kuwe na mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa na wananchi wa mkoa husika maana matatizo ya Tanzania ni Kama yanafanana tu kila sehemu maji umeme afya elimu, hao viti maalumu ndio kufutwa kabisa + ukuu wa wilaya nafasi nyingi zingekua kwenye utendaji na sio siasa
 
Kina Mbowe na genge lake wangekuwepo usingeponda. Imekula kwenu saccos.
 
Ni kweli hapa kuna tatizo hili bunge ni mzigo usio na faida kwa wananchi

Kama Jpm alipunguza ukubwa wa baraza la mawazi kwa nini asipunguze na ukubwa wa bunge
 
Kina Mbowe na genge lake wangekuwepo usingeponda. Imekula kwenu saccos.
Hivi unaweza kufikiri mambo bila kuhisi labda aliyeleta hoja yuko chama flani? Sijui hili jambo la kuwaza kwamba kila hoja inaletwa kwa kuegemea chama flani iantoka wapi.
 
Viti maalum ni janga, eti 40% yote hiyo viti maalum[emoji90][emoji90][emoji90]
 
Back
Top Bottom