Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Alafu bunge lenyewe unakuta kyna mtu kama msukuma
Na hiyo t kwenye r katika neno ptofession imewekwa kwa lengo gani??[emoji38]The Beautyful ones
Sio the Beatiful ones
Hio..... ty.... badala ya ti imewekwa kwa lengo maalumu.
Ukisema beautiful tayari unapoteza maana ya fasihi nzima.
All in all the beautyful ones are not yet born.
Teaching is a noble ptofession
NdioMkuu kwani we ukipewa hiyo nafasi utaikataa?
Au basi viwe hata 40, walau 30 ikichukua mmoja kwa kila mkoa na hao 10 wengine basi kada zingine mf vyuo,walemavu,taasisi za dini nkKwanza kabisa sioni umuhimu wa viti maalum.
Vifutwe vyote.
Wafute vyote tu.Au basi viwe hata 40, walau 30 ikichukua mmoja kwa kila mkoa na hao 10 wengine basi kada zingine mf vyuo,walemavu,taasisi za dini nk
94!dah inauma sana
Hiyo umeiona baada ya upinzani kushindwa au uliiona siku nyingiHakuna anayeweza kuikataa ilanaongelea kiujumla kama kuwa na wabunge wote hao ni tija kwa tifa. Siongelei wawe chadema au cuf, yani si kwa muktadha wa vyama vya siasa.
Na baada ya miaka minne ya ubunge wanapewa milioni ngapi vile?Nimekaa nikawaza, Bunge la JMT lina wabunge zaidi ya 300 yani wabunge 264 wa kuchaguliwa na zaidi ya 100 wa viti maalum, maana nimesikia CCM imepeleka majna 94 ya wabunge wa viti maalum, chadema wana nafasi 19, na CUF 3.
Kila mbunge anakula zaidi ya milion 10, bado wawape zile tablet, bado magari, bado posho, bado BIMA. Hivi haiwezekani tukawa na wabunge wachache kweli?
Nchi masikini nadhani tatizo siyo pesa bali ni vipaumbele. Maana malupulupu ya Mbunge mmoja, yanaweza kununua madawati na kuboresha madarasa ya shule.
Yani nchi kama Marekani na ukubwa wake wote, na pesa iliyo nayo ina members wa congress 535 tu ambapo 100 wanaingia kwenye Senate, na 435 house of representatives.
Hata mtu masikini hufanya vitu vya kumfanya azidi kuwa masikini zaidi ukitaka kuthibitisha haya linganisha mambo haya kati ya madini na tajiri.Poverty Circle!
Nchi maskini inafanya mambo yanayoendelea kufanya umaskini kukomaa na hawashtuki until external push.
Viliwekwa kuleta usawa baina ya wanaume na wanawakeKwanza kabisa sioni umuhimu wa viti maalum.
Vifutwe vyote.
Sasa kwa nini wanaume nao wanapewa viti maalum?Viliwekwa kuleta usawa baina ya wanaume na wanawake
Tanzania siyo nchi maskini koma wee!! Wewe ndiyo maskini.Nimekaa nikawaza, Bunge la JMT lina wabunge zaidi ya 300 yani wabunge 264 wa kuchaguliwa na zaidi ya 100 wa viti maalum, maana nimesikia CCM imepeleka majna 94 ya wabunge wa viti maalum, chadema wana nafasi 19, na CUF 3.