Umenikumbusha mbali aisee,Nchi hii ni ya wapigaji tu wa pesa kama tungewapata watu kama Thomas Sankara nchi ingekuwa imepiga hatua kubwa sana ktk nyanja ya afya,elimu na kilimo.
Kuna mwandishi wa vitabu anaitwa Ayi Kwei Armah aliandika kitabu kimoja kinachoitwaThe beautiful ones are not yet bornalikuwa sahihi kabisa hatujapata viongozi wazuri wanaojali masirahi ya waafrika wenzao hasa Tanzania baada ya kuondoka mwl Nyerere.
Tanzania ni nchi ya 15 kwa umasikini dunianiTanzania siyo nchi maskini koma wee!! Wewe ndiyo maskini.
Kabisa ni upotevu wa rasilimali [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Kwanza kabisa sioni umuhimu wa viti maalum.
Vifutwe vyote.
Ni 90% mkuuNa hao 300
80% sio chaguo la watanzania
Hebu tumia akili na wewe, hoja ni kupewa ubunge au ni kwa nini tuwe na wabunge wengi sana wakati nchi ni maskini wa kutupwa??Mkuu kwani we ukipewa hiyo nafasi utaikataa?
Naunga mkono hoja.Kwanza kabisa sioni umuhimu wa viti maalum.
Vifutwe vyote.
Hivi Thomas Sankara alikuwa bora kuliko Nyerere ?Nchi hii ni ya wapigaji tu wa pesa kama tungewapata watu kama Thomas Sankara nchi ingekuwa imepiga hatua kubwa sana ktk nyanja ya afya,elimu na kilimo.
Kuna mwandishi wa vitabu anaitwa Ayi Kwei Armah aliandika kitabu kimoja kinachoitwaThe beautiful ones are not yet bornalikuwa sahihi kabisa hatujapata viongozi wazuri wanaojali masirahi ya waafrika wenzao hasa Tanzania baada ya kuondoka mwl Nyerere.
Rasimu ya jaji Warioba ilishapendekeza vifutwe kama sijakosea..Kwanza kabisa sioni umuhimu wa viti maalum.
Vifutwe vyote.
Umasikini kwa wajanja wachache wa mjini au wale wengi wa vijijini??Lakini hii inasaidia kupunguza umasikini..
Lengo lake mwanzoni lilikuwa na mashiko lakini kwa sasa havina maana tena vifutwe.Kabisa, kumuingiza mtu bungeni wakati hajapigiwa kura na wananchi ni kuvunja demokrasia.
Na babu tale, hao ndio tunategemea watutengenezee sheria na kuisimamia serikali eti[emoji2297]Alafu bunge lenyewe unakuta kyna mtu kama msukuma
Hivi unaweza kufikiri mambo bila kuhisi labda aliyeleta hoja yuko chama flani? Sijui hili jambo la kuwaza kwamba kila hoja inaletwa kwa kuegemea chama flani iantoka wapi.Kina Mbowe na genge lake wangekuwepo usingeponda. Imekula kwenu saccos.