Tetesi: Wabunge zaidi ya asilimia 95 wanakubaliana na alichozungumza Gwajima

Habari JF

Za chini ya kapeti, ni kuwa Gwajima nyuma yake kuna kundi kubwa hasa hasa makada wenzie, na hii ni strategic move, yapo mengi na huyu ni kwanza, makada wengine wako njiani.

Ya kesho yanafurahisha
Mmmmmm majogaaa...kupoteza ubunge
 
Habari JF

Za chini ya kapeti, ni kuwa Gwajima nyuma yake kuna kundi kubwa hasa hasa makada wenzie, na hii ni strategic move, yapo mengi na huyu ni kwanza, makada wengine wako njiani.

Ya kesho yanafurahisha
Wasilete tu sinema hawa kwani juu chini wote sinema mwanzo mwisho.
 
Hatuna wabunge nchi hii wewe muongo tu.

Wabunge huchaguliwa na wananchi, ni nani huyo alichaguliwa na wananchi unamuita Mbunge?

Rais aliingia mlango wa nyuma kule walikopitia wabunge.
 
Habari JF

Za chini ya kapeti, ni kuwa Gwajima nyuma yake kuna kundi kubwa hasa hasa makada wenzie, na hii ni strategic move, yapo mengi na huyu ni kwanza, makada wengine wako njiani.

Ya kesho yanafurahisha
Gwaji boy kazima kiki zote cha chauma kwisha habari yao kona zote gwaji Boy tunasubiri press ya watakao mjibu nina wasiwasi ataitwa tena dodoma
 
Kuna mgogoro kuntu unaenda kutokea ndani ya chama, kwanza kuna watu wanaona wanastahili kupewa nchi kuliko madam predzaa, kuna watu wana fedha na machawa kuliko madam predzaa na kuna watu walikuwa wanakubalika Tz ila wanaona kama madam predzaa anawafubaza yaan anawataka mavi
 
Habari JF

Za chini ya kapeti, ni kuwa Gwajima nyuma yake kuna kundi kubwa hasa hasa makada wenzie, na hii ni strategic move, yapo mengi na huyu ni kwanza, makada wengine wako njiani.

Ya kesho yanafurahisha
hata Yesu na Mtume (SAW) wanakubaliana na yote
 
Back
Top Bottom