Tetesi: Wabunge zaidi ya asilimia 95 wanakubaliana na alichozungumza Gwajima

Tetesi: Wabunge zaidi ya asilimia 95 wanakubaliana na alichozungumza Gwajima

Hata kama kuna 99% wanakubaliana na gwajima kuna kichaa mkoja asiyejielewa atakuwa hakubaliani ns gwajima huyu si mwingine bali punguani babu tale
 
Habari JF

Za chini ya kapeti, ni kuwa Gwajima nyuma yake kuna kundi kubwa hasa hasa makada wenzie, na hii ni strategic move, yapo mengi na huyu ni kwanza, makada wengine wako njiani.

Ya kesho yanafurahisha
Sawa. Nakumbuka hata Lowassa alipoondoka CCM tualiambiwa Kuna wabunge wengi nyuma yake, kuna mawaziri wengi nyuma yake, kuna Wakuu wa Mikoa wengi nyuma yake na Viongozi mbalimbali wa CCM nyuma.

Matokeo yake yalisikitisha sana hadi Mzee Lowassa mwenyewe kuamua kurudi CCM!
 
mleta mada, % kubwa ya wabunge wa ccm ni mbumbumbu. Bila kuwa na ubongo maelezo ya Gwajima ni vigumu kuyaelewa. Sasa unategemea:-
1. Msukuma.
2. Babu Tale.
3. Maganga mbunge wa Mbowe.
4. Kibajaji.
N.k .
Wanao uwezo wa kuyaelewa maelezo ya Gwajima mpk wakubaliane naye?
 
Gwajima mjanja mjanja huyu jamaa anakwenda na upepo wa siasa, aliyoyasema ni kweli lakini yeye mwenyewe muongo.

Hivi alitekeleza ahadi zake alizotoa wakati wa kampeni zake?.
 
Niliweka mada kama hii asubuhi nikasema baada ya Gwajima, kuna wengine watafuata kuongea na media.
 
wapenda haki wote waTanganyika na wasukuma wote wako nyuma ya mtumishi wa Mungu Josephat Gwajima.

let's go & let God!
 
Back
Top Bottom