Baada ya miaka kadhaa kupita akaandaa ubunifu wake unaoitwa, Ushahidi unaotokana na pesa zilizotolewa katika mashine za ATM.
Huu ni mfumo ambao ungewekwa katika mifumo ya ATM zote nchini. Kupitia mfumo huu katika mashine za ATM, kutakuwa na utaratibu wa kuwekarekodi ya namba za noti zote ambazo mteja.
Kupitia mfumo huu katika mashine za ATM, kutakuwa na utaratibu wa kuwekarekodi ya namba za noti zote ambazo mteja atatoa kupitia mashine ya ATM.
Hii itasaidia pale ambapo linatokea tatizo kubwa kama vile uporaji, mauaji au kosa lolote la jinai. Endapo katika eneo husika kukapatikana pesa, noti elfu tano tano au elfu kumi kumi, basi zichukuliwe na namba zake ziingizwe katika mfumo utakaotengenezwa.
Baada ya zile namba kuingizwa katika mfumo, kama pesa zile zimetolewa kutoka katika mashine ya ATM, basi zitaonesha taarifa za mtoaji zile pesa kuanzia akaunti yake na jina lake na hata picha yake. Mfumo huu utakuwa unafuta taarifa za kila namba ya noti kutoka taarifa ya zamani.
Mfano endapo noti ileile ilitolewa na mtu huko nyuma. Baada ya mzunguko, ikarudishwa tena benki na kutumika tena katika mashine ya ATM, ikija ikatolewa tena, taarifa za zamani zinapotea na kuwekwa taarifa mpya za huyu mtoaji wa sasa. Kila baada ya tukio baya kutokea askari wanaweza kutumia pesa ili kumkamata mtuhumiwa.
Si hivyo tu, mfumo huu pia unasaidia upatikanaji wa pesa zilizoibwa kupitia mashine ya ATM. Hii itamsaidia mwenye akaunti aliyeibiwa pale atakapomshuku aliyemuibia pesa, ataingiza namba za noti ambazo amemkutanazo mshukiwa wake. Endapo ile noti imeibwa kutoka katika akaunti yake atajua, na kama haijaibwa atajua pia.
Pia katika mfumo huu pia, utaunganishwa na mfumo wa pochi. Mfumo huu utasaidia watu hasa wanapoibiwa pesa katika maeneo ya mikusanyiko mfano katika mabasi, sehemu za kuangalia mpira kwenye mabanda na hata kwenye viwanja vikubwa vya kuangalia mpira. Kila mtu atakuwa na application katika simu yake, application ambayo itamtaka aziskani namba za noti zake zote anazotaka kusafirinazo kwa siku husika.
Baada ya kuziskani zile namba za noti ataondoka. Baada ya kutokea tukio la kuibiwa anawezakuijua pesa yake hata kama zimechanganywa. Hii itasaidia sana kwa sababu kwa sasa ukiibiwa na endapo mwizi atazichanganya pesa zile, huwezikujua pesa yako ipo wapi kwa sababu zinafanana.
Ila kwa kutumia mfumo wa bwana Kingambe, pesa yako utaipata kama ipo. Pale utakapoitumia noti basi inakubidi uitoe ile namba ya noti utakayoitumia ili isikuchanganye baadae. Mfumo huu na mifumo mingine, anataka kuiweka katika application za android ili ziwasaidie watanzania. Kwa sasa hawezi kuzitengeneza hizo application, ila anachokiweza yeye ni kubuni tu hizo application.
Anaendelea kupambana kutafuta pesa ili akasome shahada ya mkandarassi wa mifumo ya program (software engineer). Baada ya kumaliza anaamini ataweza kuziweka ndoto zake katika uhalisia. Hakuchoka bwana Kingambe alitunga tamthilia pia ikiitwa jina la AMANI NA UPENDO (VIUMBE VINAVYOISHI).
Tamthilia hii ni tamthilia ya kipekee Tanzania na duniani kwa ujumla. Upekee wake ni ule ambao umewekwa katika tamthilia hii kupitia wahusika ambao kila mmoja tabia zake zinaendana na jina lake. Pia katika igizo hili kuna tenzi ambazo zinaendana na matukio katika tamthilia hiyo. Pia bwana Kingambe ndani ya tamthilia ametumia njia ya kuvipa uhai vitu ambavyo kiuhalisia si hai.
Tamthilia hii imetumia wahusika wakuu ambao ni AMANI na UPENDO kama mke na mume. Pia CHUKI na KISASI kama mke na mume pia. Pia kuna kijana anayeitwa MTAZAMO, kijana ambaye ni mhusika mkubwa katika kutoa ujumbe mzito kwa jamii. Kijana huyu amekuwa ni nguzo kubwa katika kufikisha ujumbe kwa jamii husika.
Pia katika tamthilia hii, bunifu zote za bwana Kingambe zitakuwa zinatumika humu. Hii ni tamthilia ambayo itakuwa na ubunifu ndani yake. Haijawahi kutokea tamthilia kama hii. Tamthilia iliyobeba maudhui ya AMANI NA UPENDO duniani.
Tamthilia hii itazungumzia migogoro pia mapigano mbalimbali inayoendelea dunniani. Katika tamthilia hii wahusika mbalimbali wamewekwa ili kukemea mambo mbalimbali yanayoendelea kutokea duniani.
Pia ili kuhakikisha jamii yote inaipenda hii tamthilia, hali zote za maisha ya mwanadamu zipo. Kuna furaha pia huzuni. Furaha kwa kiasi kikubwa inatokana na wasanii wa vichekesho. Utakuwa unacheka huku unaelimika.
Pia kuna maadili mazuri sana ili watu wanaoheshimiana waweze kutazama tamthilia hii wakiwa pamoja pasi na changamoto yoyote ya kimaadili. Maadili hayo ni kuanzia mavazi pia na lugha itakayotumika. Kwa kiasi kikubwa lugha itakayotumika ni kiswahili, japo kunaweza kukawa na matumizi ya lugha ya kingereza kwa yale maneno tata katika lugha hiyo ambayo kiswahili chake kigumu.
Zifuatazo ni baadhi ya tenzi ambazo zitatumika katika tamthilia.
1. AMANI NA UPENDO (VIUMBE VINAVYOISHI) Hii ndio tenzi kuu ya tamthilia kwa lugha ya kiswahili. Pia kuna tenzi ya
2. PEACE AND LOVE (THE LIVING CREATURES) kwa lugha ya kingereza, hii pia ni tenzi muhimu ya tamthilia hii. Pia kuna tenzi ya
3.UCHUNGU WA MWANA AUJUAE MAMA. Pia kuna tenzi ya
4.TELL ME WHY ? Katika lugha ya kingereza. Pia kuna
5.CORONA VIRUS WILL DISAPPEAR. Pia kuna
6.MAMA.
Katika tamthilia hii waigizaji pamoja na mtunzi watanufaika katika namna zifuatazo.
1 watagawana pesa ya kuuza kazi zao.
2 katika kila episode kutakuwa na mafumbo ambayo watu watalipia buku kujaribu kama wanaweza kuyafumbua.
Wakipatia kufumbua mafumbo hayo wanapata pesa. Kama bwana Kingambe, akishinda atapambana kuhakisha TAMTHILIA yake inafanyika.

Upvote
0