Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

Deal28

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
96
Reaction score
114
Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
 
Mapema sana..kama mvua hizi unazozitaja wewe ni Vuli..tungoje zile za masika ndiyo tutajua wapi panavuja.
 
Daah nasikitika mechi zote zitaonyeshwa muda mmoja, sijui nitaangalia ipi niache ip
 
Daah nasikitika mechi zote zitaonyeshwa muda mmoja, sijui nitaangalia ipi niache ip
Angalia mechi ya wananchi ili ufaidi uhondo wa mechi! Huko kwingine utakutana tu na kelele za mashabiki wakimzoea kocha wao msaidizi na CEO!
 
Zalan sio timu ya hadhi ya caf ni timu yenye hadhi ya ndondo.
 
Mapema sana..kama mvua hizi unazozitaja wewe ni Vuli..tungoje zile za masika ndiyo tutajua wapi panavuja.
asee tukae tayari kupambana na matokeo baa ya mvua
 
Back
Top Bottom