Nimekudharau mnoHaya saini hapa kuthibitisha kuwa wewe ndio umeandika huu ujinga
View attachment 3311323
Goli la kwanza hata camala ashafungwa chama alipiga faulo camala akaupoza ukatua miguuni kwa mchezaji wa Yanga max zengeli akatumia nyavuni mbona hawasemiKuna wachambuzi na baadhi ya wajinga ikiwa ni pamoja na coach wake Matano aliyemtupia lawama baada ya kufungwa goal 2
Goal keeper Nobo amefanya saves 4 kubwa na kuinusuru timu yake ila analaumiwa Kwa makosa ambayo magoli kipa hufanya
Zile goli ni kupongeza tu washambuliaji wa Yanga Mzize na Dube
Goli la kwanza mpira ulidunda,Goal keeper akapoza ili audake, Mzize akawa amefika na kumfunga
Na hili sio tukio geni kwenye football
Goal keepers wengi washafungwa sana hivi
Goli la pili. Golikipa alipokea mpira na akawa anarudisha mpira kwenye box, hivyo Dube aka press na kipa akafanya makosa akafungwa
Tukumbuke Camara alitoka mpira uliounatoka zake nje na kumpa Kijili aliyefunga goli Bora la msimu
Kiongozi wa Simba Magori alilaumu ila Camara alipata watetezi wengi
Tuheshimu football. Huu ni mchezo wa makosa bila kosa kufanyika goli halifungwi
Kumtuhumu mchezaji aliyefanya makosa kuwa ameuza ni ujinga kiwango cha lami
Kuna mwanasiasa mmoja alinukuliwa akisema.Tanzania ujinga ni mwingi
We mtetee ila kocha wa yanga mr ramovic alishasema yanga haishindi kwa kawaida na team zinazofungwa na yanga zinachekelea kufungwa na hazitoi ushindani mwalimu rama akaona mambo yasiwe mengi.Kuna wachambuzi na baadhi ya wajinga ikiwa ni pamoja na coach wake Matano aliyemtupia lawama baada ya kufungwa goal 2
Goal keeper Nobo amefanya saves 4 kubwa na kuinusuru timu yake ila analaumiwa Kwa makosa ambayo magoli kipa hufanya
Zile goli ni kupongeza tu washambuliaji wa Yanga Mzize na Dube
Goli la kwanza mpira ulidunda,Goal keeper akapoza ili audake, Mzize akawa amefika na kumfunga
Na hili sio tukio geni kwenye football
Goal keepers wengi washafungwa sana hivi
Goli la pili. Golikipa alipokea mpira na akawa anarudisha mpira kwenye box, hivyo Dube aka press na kipa akafanya makosa akafungwa
Tukumbuke Camara alitoka mpira uliounatoka zake nje na kumpa Kijili aliyefunga goli Bora la msimu
Kiongozi wa Simba Magori alilaumu ila Camara alipata watetezi wengi
Tuheshimu football. Huu ni mchezo wa makosa bila kosa kufanyika goli halifungwi
Kumtuhumu mchezaji aliyefanya makosa kuwa ameuza ni ujinga kiwango cha lami
Halafu team ipo kwenye hatari ya kushuka daraja.Sijaangalia Mpira sina Uhuru sana wa kutoa Maoni.
Ila ninachojua Amefukuzwa Kambini.
Amevunjiwa Mkataba mapema Mno.
Amepewa Thank you.
" Coach anasema amepeana magoli mawili"
Mengine yawe yanatupita
Hilo tukio una uhakika Max alifunga?Goli la kwanza hata camala ashafungwa chama alipiga faulo camala akaupoza ukatua miguuni kwa mchezaji wa Yanga max zengeli akatumia nyavuni mbona hawasemi
hahahahaHaya saini hapa kuthibitisha kuwa wewe ndio umeandika huu ujinga
View attachment 3311323
simba alihongwa bila shaka,na alipofungwa alichekelea.We mtetee ila kocha wa yanga mr ramovic alishasema yanga haishindi kwa kawaida na team zinazofungwa na yanga zinachekelea kufungwa na hazitoi ushindani mwalimu rama akaona mambo yasiwe mengi.
Haya saini hapa kuthibitisha kuwa wewe ndio umeandika huu ujinga
View attachment 3311323
Siyo kufungwa ila namna alivyofungwa...kila kipa anafungwa.Mbona kipa wapili nayeye kakandwa mbili..?