Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Arusha na wachaga wapi na wapi? Wachaga gani wamempinga?
 

Nimekuelewa ila nahitaj ufafanuzi zaid kama utojali naweza pata mawasiliano yako
 
Nimekuelewa ila nahitaj ufafanuzi zaid kama utojali naweza pata mawasiliano yako
Unajua biashara zote Duniani zimewahi kufanywa/zinafanywa na watu tofauti tofauti, kwahiyo ukiandika hapa, Kila mwenye uzoefu wake atasaidia kushea hapa na itakuwa funzo kwa watakaokuja baada yetu miaka 50 ijayo kuweza kujifunza

Matajiri wengi wa Kihindi, wamewahi/wanafanya biashara ya mazao

Nimewahi kufika kiwanda alichokuwa anamiliki marehemu Manji pale Kipawa

Wenzetu wametutangulia kwenye kuyapa thamani mazao yetu na kuyauza nje ya Nchi kwa thamani mara nne ama 5 ya hela aliyonunulia

Na formula yao ni ile Ile, usiweke mayai yote kwenye Kapu moja

Hiyo ilikuwa ni miaka 15 hivi iliyopita
 

Asante sana naweza kusogea PM yako mkuu tukateta zaidi kama utojali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…