Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Wachaga walishachoka na utoaji kafara mereraniii ... somo liliwaingiaaa

Mkoa wowote mahali ambapo hapana mchagga jua pana changamotoo za kupata riziki
Hawajawahi fanya hizo mbanga, kwanza ni vyasaka, watu wa kanda zingine ndio walifanya hayo mambo, zingatia waliokuwa wanaua albino ni mkoa gani au kanda gani!
 
Mkuu Grahams nashukuru kwa ushuhuda ila una uhakika hujakosea hesabu? sio mwaka 1965 ndo ulienda ubaruku.
 
Nawaangaliaga tu...Kuna mmoja kitaani hapa alifilisika kwenye hio hio, yuko tu saivi kama hayupo sawa anacheka cheka tu na kuongea mwenyewe
Kafara hizo, biashara hii na kafara ni pete na kidole.

wengi wanasahau maagano wakishazipata kwa kudhani wamezipata kwa juhudi zao, matatizo yakizidi wanarudi kwa mganga wakiwa wameshachelewa sana, maagano yanawafundisha kwa vitendo dawa ya kiburi ni jeuri.

Pesa za hawa watu zina minyororo mingi sana, wanajipooza masikitiko ya maamuzi waliyofanya kwa kufanya fujo za pesa, kwao neno nidhamu halipo.
 
Masai saiv waemejikita kwenye bodaboda 😀
 
Wataenda kuchimba hayo madini na meno ama mikono?
Juzi tu hapa mtu ANANIAMBIA kwa Sasa hata ukiwa na milioni 40 haitoshi kuanza biashara ya uchimbaji madini...
Labda angalau uwe broker
Uchimbaji wa sasa hivi umekuwa mgumu maradufu.

Uchimbaji wa sasa ume shift kutoka kwenye mtaji wa nguvu kwenda kwenye pesa.

Zamani mtaji ilikuwa ni sululu na chepe, ikaja kwenda mpaka kumiliki kipimo, kipimo kwenda hadi kumiliki Karasha.

Kwenye Karasha ni kama ni hatua ya mwishoni mwishoni ambayo nayo iko ukingoni kupitwa na wakati kama hizo hatua za mitaji zingine ambazo nimeziainisha ambazo kwa sasa sio mchongo tena.

Changamoto ya Karasha ni kupata eneo lenye mwamba mzuri unaotoa mawe mazuri na yenye consistency.

Lakini kwa jinsi nilivyoona hivi sasa ni kama watu wengi wanaonekana kuwekeza zaidi kwenye ellusion na plant.
 
kama wapo wachaga mashoga sembuse kuwa bodaboda? Munawasifia sana wana akili zipi kuwazidi wengine? Tushafanya nao biashara na tukawakimbiza
 
Wametangulia dada zao
 
Usitupangie cha kufanya. Nenda wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…