Wachaga: Tamaduni zao 10 zinafanana na Wana wa Israel

kitu ninachowapendea wachaga hawa jamaa wanapeana sana sapoti, ikitokea mmoja amefanikiwa..
 
Mbona hatuoni masinagogi kwa wachaga. Acheni kuzingua....hapa duniani kuna miingiliano mingi tu
Naona mwanzisha thread amechokonoa mapovu ya watu yaliyokuwa yamegandiana kifuani yanatoka mfululizo kama povu la sabuni omo! Mkuu mwanzisha thread kesho usisahau kuweka ile historia nyingine inayoonyesha wachaga na wazungu wametoka kizazi kimoja ehe!!! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
umeuwa!! 😂
.
.
yupo mwenzako alisema wahaya wana asili ya wana wa Israel, taifa teule la Mungu.
.
sababu aliyoitoa yeye ni mbili tuu:
1. anadai senene zinazoshuka kule uhayani ni kama mana ya wana wa Israel, maana yeye mwenyewe hajui wale senene hua wanakujaje.
.
2. vita vya kagera, yeye anadai wao ndo taifa pekee waliopigana vita kuikomboa nchi kama ilivyokua kwa wana wa israel.
.
.
sasa hii ya Ukoo wa Mushi kua upo kwenye biblia, bila shaka ni matango tuu mnayolishana mkienda moshi mwezi wa kumi na mbili, wachaga wakiwa wanapigana fiksi wapo serious kinyama, hasa hizo fiksi apige mtu mwenye pesa, utasikia "we ulomi wewe, tulia hujui kitu mangi, tulia ufoo atwambie hii kitu mangi, we subiri supu iife unywe, huna unachojua"
 
Wachaga matapeli mmeanza kutapeli hadi historia ya waisrael ila nayi muinhie mbinguni walevi..wazinzi na wala kitimoto..hakuna mbingu hiyo..kwanza nikisikia jina mchaga kinachonikia akilini ni wizi..utapeli na ufisadi.

Tubuni mkapate kuokolewa acheki kujikuta waislaer wakati ninyi ni wapalestina...cc wadada wa kimachame.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee.,, Kwahiyo nanyi mmerithi ukatili kwa waisrael/wayahudi Kama ambavyo wayahudi wanavyowakatili wapalestina sio! Lakini wako wachagga wanaimani/huruma kuliko hayo mayahudi nguruwe.
 
Soma Mwanzo 6:18-19 inaelezea kuhusu gharika la nuhu
 
Thread bora ya mwaka hii,hongera mwandishi kwa kuwapa somo zuri
 
Inferiority Complex ya watu weusi kila siku kujifananisha na watu weupe. Je wao nao wanajifananisha na wachaga????? hapo ndio utagundua watu weusi ni dhaifu ...slave trade imetuharibu sana.
 

Hapo mwanzo 6:18-19 umetupeleka pori chaka kabisa. Badala yake kesome 1 Mambo ya Nyakati 23: 12. inataja hayo majina lakini Mushi halipo pia. Labda sijui unatumia biblia ya wachaga. Acha kutia chumvi.
 
Wachaga bwana yaani wao wamezoea kujiona ni Bora kuliko wangine,Any way Hongereni sana wana wa Israel.
 
. UTARATIBU WA KUOA MDOGO MTU KABLA YA DADA YAKE
Najazia tu.

i)Hii hata kwenye kuoa pia,huwezi mdogo mtu ukaoa kabla ya kaka yako labda akupe ruhusa,kama ukikaidi ni dharau.
ii) Kurithi mke wa ndugu(kama kafa bila mtoto wa kiume) ili kuendelea ukoo,hii ilikuwa muhimu ili ukoo usichafuke.
iii)Wanawake kutopewa urithi katika familia,sababu anaeweza kuendeleza ukoo ni mwanaume tu.

Lakini yote kwa yote kwa sasa huo utaratibu unakufa kidogo kidogo. Utamaduni uliobaki kwa sasa ni wa kwenda Moshi tu desemba basi.
 

3.Na wanawake zao wanatoa maji Yale maji wanayaita kijito cha utakaso.
 
wachangiaji wana mihemko ya ovyo kabisa,post inasema"tamaduni 10 za wachaga zinazofanana na waisraeli" ...pathetics wanashambulia mada isiokuwepo,...yaani"wachagga ni (sehemu) ya waisraeli"....all in all Chagga tribe is huge,in all ways,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…