Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Utajiri una Siri zake , either ziwe nzuri au mbaya.Nilichogundua humu duniani, Ni ngumu mtu kukupa chimbo la sehemu wanakotafutia pesa , na hata akikwambia hatakufafanulia. Hii ndo inafanya matajiri wawe wachache humu duniani, mtu atakwambia Nina restaurant, lakini mbinu anayotumia kupata wateja hapo kwenye restaurant hawezi kwambia katu. So usitegemee hata hao wachaga kwamba watakuja hapa kumwaga madini.
Ni uninafsi tu unawasumbuaNilichogundua humu duniani, Ni ngumu mtu kukupa chimbo la sehemu wanakotafutia pesa , na hata akikwambia hatakufafanulia. Hii ndo inafanya matajiri wawe wachache humu duniani, mtu atakwambia Nina restaurant, lakini mbinu anayotumia kupata wateja hapo kwenye restaurant hawezi kwambia katu. So usitegemee hata hao wachaga kwamba watakuja hapa kumwaga madini.
Ila wote tunatak hayo maisha mzeeUtajiri una Siri zake , either ziwe nzuri au mbaya.
a hapa mkuu mwaga madiniSisi wandengereko tuna comment wapi?
Kwahiyo unataka kusema alikuwa mchawiMtaani kwetu kuna jamaa alikuwa na duka kubwa sana ndo kilikuwa kijiwe chetu usiku! Kabla jamaa hajafungua duka ilikuwa anaamka usiku na kumwagilia vitu fulani pale nje baadae akabadilisha muuzaji duka liliishia pale
Hapa hapa ili tujue tunajikwamuaje kwenda uchumi wa blueNasisi wakinga tunakomenti wapi
Sijasema hivyo kwakuwa sijui alikuwa anamwaga vitu gani labda maji ya mwamposaKwahiyo unataka kusema alikuwa mchawi
Hapa ndipo mnapo feliIn every great fortune there's crime.
Hawa wachaga wana nini?Ukienda shule nzuri. Asilimia kubwa ya wanafunzi ni watoto wa kichaga.
Kwenye vyuo vikuu kama udsm asilimia kubwa ya wanafunzi bora ni watoto wa kichaga
AhaahahahahSijasema hivyo kwakuwa sijui alikuwa anamwaga vitu gani labda maji ya mwamposa