Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wanasema, tafuta hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamua kuwasifia wachanga wenzioHellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu [emoji849][emoji849][emoji849]
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
Katika vitu sitamani hicho ni kimoja wapo. Why nitamani sasa? Kwa kipi? Nakosa nini kwa mfano? Hela ninayo[emoji3]ungesema kidogo kuwa Mkwere labda ila siyo Mchagga.Ukweli usiosemwa: Watu wengi wanatamani kuwa wachagga ila basi tuu.
Sasa tunatafuta hatupati embu watupe siriWanasema, tafuta hela
Ahahah mimi mnyiha kutoka mbozi ukooo mkoa mpya wa songweeeeUmeamua kuwasifia wachanga wenzio
Mimi pia kipindi nipo mdogo nilikuwa natamani kuwa mchaga au mjita 😂😂Ukweli usiosemwa: Watu wengi wanatamani kuwa wachagga ila basi tuu.
Why mkwereKatika vitu sitamani hicho ni kimoja wapo. Why nitamani sasa? Kwa kipi? Nakosa nini kwa mfano? Hela ninayo[emoji3]ungesema kidogo kuwa Mkwere labda ila siyo Mchagga.
Nilijua tu lazima kuna atakayekuja na hii comment.Noeli Mushi asitoe mbinu, mbinu zake akae nazo mwenyewe
Unauliza tena? Haupo serious. Sasa unafikiri kuwa kabila moja na Mtu Mbad, borntown, akili mingi kama mzee wa msoga unafikiri ni issue ndogo?[emoji23]Why mkwere
😂😂😂wivu1.kufoji vyeti vya elimu
2.Ushirikina, Kafara na matambiko
3. Mali za dhuluma, uwizi
Siri ni kua mbunifu na kupambanaUtajiri una Siri zake , either ziwe nzuri au mbaya.
Tatizo mlikua mnaniloga sanaMtaani kwetu kuna jamaa alikuwa na duka kubwa sana ndo kilikuwa kijiwe chetu usiku! Kabla jamaa hajafungua duka ilikuwa anaamka usiku na kumwagilia vitu fulani pale nje baadae akabadilisha muuzaji duka liliishia pale
Hawatufikii sisi wahayaUkienda shule nzuri. Asilimia kubwa ya wanafunzi ni watoto wa kichaga.
Kwenye vyuo vikuu kama udsm asilimia kubwa ya wanafunzi bora ni watoto wa kichaga
Chuki1.kufoji vyeti vya elimu
2.Ushirikina, Kafara na matambiko
3. Mali za dhuluma, uwizi
Hawa walipata mitaji kwenye mabenki,wakapata zabuni za serikali,wakapiga pesa nyingi,wakapata connection za biashara za nje,TRA wakawarahisishia uingizwaji bidhaa kwa kuwa wamo wengi.Hellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu [emoji849][emoji849][emoji849]
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
Ilikuwaje wakapat?Hawa walipata mitaji kwenye mabenki,wakapata zabuni za serikali,wakapiga pesa nyingi,wakapata connection za biashara za nje,TRA wakawarahisishia uingizwaji bidhaa kwa kuwa wamo wengi.
Kwa sasa wana mitaji na wanaieneza kwenye koo zao.Walipata mapema na si rahisi kuwapata.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Walikuwa na nyadhifa serikalini na ni kwa sababu waliwahi kwenda shule.Ilikuwaje wakapat?
Mimi pia kipindi nipo mdogo nilikuwa natamani kuwa mchaga au mjita 😂😂