Wachaga tupe siri na sisi wengine

Wachaga tupe siri na sisi wengine

Hellow africa

Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄

Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
Hehehe
Nikiwaza amri ya mahakama kwa jamaa wakapimwe circumference ya spika za tumbo nacheeeka kweli kweli.

Yaani una utani na wachaga na hawajakustukia
 
Hellow africa

Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄

Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi

Je kwanini wapare nao wanaitwa wachagga! wapare kwasababu sio waongeaji watu wengi wanafikiri ni wa chagga. Hata Nandy na Lulu watu wanawaita wachagga wakati wote ni wa pare.
 
Waforge vyeti wakati Wana shule kibao?
Wanaomini ushirikina ni maskini always.
Wanamwibia yupi ambaye ana Mali kuzidi wao? Au wanadhulimu akina nani ambao hawendi kuwashtaki
1.Tafuta orodha ya walifutwa kazi kwa sbb ya vyeti feki
2.Ushirikiana upo, na ndio maana kuna mataaira ya kutosha huko kwenu
3.Kabila la wenye mali nyingi nchi hii ni wahindi
 
Je kwanini wapare nao wanaitwa wachagga! wapare kwasababu sio waongeaji watu wengi wanafikiri ni wa chagga. Hata Nandy na Lulu watu wanawaita wachagga wakati wote ni wa pare.
Hahahah nao hata hawakanushi wanakubali tu[emoji23]
 
Hamna mimi nimemjibu tu...anatakiwa aseme mtu atatamani kwa kipi kwa mfano?[emoji23] hebu mjibie basi
Siwezi kumjibia, maana mimi ni mchaga na ninajivunia kuwa mchagga, sijawahi kutamani kuwa kabila jingine, na kila ninapoenda najiona nipo top sitishwi yaani

Sijui kama nimeshamjibia au bado😅😅😅
 
Siwezi kumjibia, maana mimi ni mchaga na ninajivunia kuwa mchagga, sijawahi kutamani kuwa kabila jingine, na kila ninapoenda najiona nipo top sitishwi yaani

Sijui kama nimeshamjibia au bado[emoji28][emoji28][emoji28]
Umejibu vema. Mimi siyo Mchaga na sitamani kuwa Mchaga wala kabila lingine lolote. Na kila nilipo nakuwa nyota na icon. Hao wanaotamani makabila ya watu ni wajinga mno na waombewe sana aisee
 
Je kwanini wapare nao wanaitwa wachagga! wapare kwasababu sio waongeaji watu wengi wanafikiri ni wa chagga. Hata Nandy na Lulu watu wanawaita wachagga wakati wote ni wa pare.
Nandi kwao si pale nyuma ya kisangara jina limenitoka
 
Kuna noel na Kevin wale machoko nao wanatafuta PESA pia
 
Umejibu vema. Mimi siyo Mchaga na sitamani kuwa Mchaga wala kabila lingine lolote. Na kila nilipo nakuwa nyota na icon. Hao wanaotamani makabila ya watu ni wajinga mno na waombewe sana aisee
Ila kila mtu anapenda kabila lake kiuhalisia kutokana mazoea yake kwa kweli sehemu niliyokaa sana wachaga wahusishwa na mambo ya hovyo basi hawana raha japo wapo wema wengi ila wasichana ndo wanachekwa kabisa 😂😂..

Unaweza kusikia mtu "anasema usioe yule mchaga " sometime najiuliza sababu ni nn ?
 
Ila kila mtu anapenda kabila lake kiuhalisia kutokana mazoea yake kwa kweli sehemu niliyokaa sana wachaga wahusishwa na mambo ya hovyo basi hawana raha japo wapo wema wengi ila wasichana ndo wanachekwa kabisa [emoji23][emoji23]..

Unaweza kusikia mtu "anasema usioe yule mchaga " sometime najiuliza sababu ni nn ?
Lolote linalosemwa na wazee kwa kusisitizwa, si la kupuuzwa. Huenda ni kweli wana mambo meusi (opportunists wa mali).
 
Back
Top Bottom