Kawaida ya maskini lazma amchukie aliyefanikiwa badala ya kujifunza
Natáka kukupa facts zifuatazo juu ya wachaga
1:mkoa wao ndio mkoa WA KWANZA kiwa na shule nyingi za sekondar kuliko mkoa wowote Tanzania
2:mkoa wao Kilimanjaro ni mkoa WA pili kuwa na kiwango kidogo chá umaskini yaani Kilimanjaro maskini ni 10% tu kwa mujibu WA NBS
3:mkoa WA Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa miundombinu toshelezi vijijini kwa 90%(shule,zahanati, hospitals)
4:mkoa WA Kilimanjaro una história ya Elimu,watu wengi WA Kilimanjaro ni wasomi tangia kabla ya uhuru( i.e Dr nsilo swai,prof Gabriel mmari,prof Isaria Kimambo,Edwin mtei NK)
5:kampuni za makandarasi karibu 40% zinamikikiwa na Watu WA Kilimanjaro
6:kampuni za mabasi Karibu 40% zinamikikiwa na watu WA Kilimanjaro
7:watu WA Kilimanjaro wamesambaa nchi nzima na nje ya nchi kwa issue mbili tu Elimu au biashara
8:sekta nyeti zinapendwa n'a Hawa Jamaa,sio ajabu vyuoni ukawakuta kwa wingi Ktk Fani Hizi tehama, engineering,law, accountancy, business, kilimo,achtecture,NK, just imagine as now we speak,Fani ya upasuaji ubongo na Neva za fahamu inaitwa neurosurgery nchi nzima ina madaktari bingwa 9 tu , wanne kati yao ni Wachaga
9:watu WA Kilimanjaro wanathamini mno nyumbani Kwao,ni kawaida kukuta majumba ya kisasa vijijini ambayo hâta mikocheni hayapo
10:ni wapenda dini hasa ukatoliki(60%) na uluteri 30%) Kilimanjaro makanisa ni ya kisasa kabisa vijijin
Kuthibitisha Hilo,Baraza la maaskofu katoliki Lina majibo 34, maaskofu kutoka Kilimanjaro pekee ni 12 HII inathibitisha walivyo aware na dini.