luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
AbsolutelyAisee kuna ukweli hapa.. nimefuatilia sana nikagundua na mengine mengi nikweli kuna gap kubwa mno na nila kihistoria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AbsolutelyAisee kuna ukweli hapa.. nimefuatilia sana nikagundua na mengine mengi nikweli kuna gap kubwa mno na nila kihistoria
Sasa matajiri ni wahindi mbona kweny vitabu mnalialia kwamba wanapendelewa ulishawahi kuona wahindi choka mbaya hapa bongo ?Bado unasumbuliwa na USHAMBA,tibawekeza popote hâta kule kwenu udigoni ndio maana ya akili kubwa lazma utembee popote kuangalia fursa zaidi,Wewe endelea kufungia akili kwenye kibuyu,Hao wahindi unaowaabudu Tanzania ni Kwao? Huoni wametoka Huko Kuja kutafuta fursa zaidi? Je Tanzanie ni tajiri kuliko Índia?
Hekaya za abunuasiNIMONA WATU WATANO MPAKA SASA
WENGINE WANAFARIKI KIHISIA NA UTU WAO WA NDANI KIMYA KIMYA.
SIO RAHISI KUELEWA HIZI MAMBO
Eti kusafiri 😂😂kufanya kazi gani ndo maana nikawambia nyie washamba nimekaa kenya hata kiswahili changu kimechanganyika na ukenya😂😂😂.Jibu swali acha mbambamba, Wewe umewahi safiri abroad hâta Hapo Kenya tu? Tulia Dogo endelea kulima machungwa hapo handeni
Siri ni wizi na roho mbaya basiHellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
Habari kama HII wale wenye chuki wakiisikia wanapasuka moyoKuna mtu Anaweza waza kuwa hii imekaa kikabila Ila nasema hapana' kwa sauti kubwa kuwa Ukweli wa Mangi Ni noma Ni habari nyingne kwa tz na nje ya nchi. Sio sifa.
Nikuwa kwenye mkutano mmoja wa waisrael walio Fanikiwa kufanya shughuli za kilimo tz.
Mwizrael mmoja mbele ya mkutano akasema amezunguka tz na sehemu zingne Ila kabila ambalo aliona linaendeleza nchi Ni wachaga akasema bila wachagga tz Ingekuwa nchi ya ajabu na ukubwa wake , Ila chagga ndio wanaendeleza tz.
Yeye Kama yeye Anawapa salute , Respect wachagga.
Mwisho wa kunukuu....
Kwa wachagga hata wazungu wanawakubali[emoji119][emoji119]
Mmoja wao akasema wao hua hawaachi mbegu zao nyuma Japo wadada Bongo...wanawashobokea Ila Ni marufuku hawaachi mbegu zao bongo' duuhi!! Hii Nayo nikaona Kama misifa tuu wanajiwekea!!![emoji848][emoji848][emoji848]
Maskini hâta hueleweki unachoongea,mara nguo kwahyo wachaga Huwa hawana nguo hebu ficha upumbavu basiEti kusafiri [emoji23][emoji23]kufanya kazi gani ndo maana nikawambia nyie washamba nimekaa kenya hata kiswahili changu kimechanganyika na ukenya[emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi mtu wa dili hta kinisafiri sipost sina ushamba huo kama nyie bado sana tunawaona washamba kabisa hata uvaaji ni manguo ya mitumba.
sasa unavaa mitumba unaenda ughaibuni ukikutana na mweny nguo utafanyaje?[emoji23][emoji23]
Bado mshamba na kuna yule mshamba wenu kule ughaibuni eti comediani anatia aibu tu kucheza kama kichaa mbele ya wazungu...
Walikuibia nini ewe kapuku?Siri ni wizi na roho mbaya basi
Mara uulize mtu kasafiri kaenda wapi? Endelea kuvaa mitumba maana mkiambiwa eti mnachukiwa bakini kwenu.Maskini hâta hueleweki unachoongea,mara nguo kwahyo wachaga Huwa hawana nguo hebu ficha upumbavu basi
Na wewe usitoe mbinu baki nazo zako chafu chafu za kimirembe suleiman.Noeli Mushi asitoe mbinu, mbinu zake akae nazo mwenyewe
🙄🙄 Hii ni ID ya Noeli? Nsamehe kaka NoeliNa wewe usitoe mbinu baki nazo zako chafu chafu za kimirembe suleiman.
Jiheshim mkubwa wewe usikute huko kwenu kuna watu wanakuita mamdogo. Tabia za mirembe Suleman acha si umeuona mwisho wake kaa mbali na wake za watu usiseme sijakuambia.🙄🙄 Hii ni ID ya Noeli? Nsamehe kaka Noeli
Haya kaka nimekusikia sio tu ma mdogo mi ni ma mkweJiheshim mkubwa wewe usikute huko kwenu kuna watu wanakuita mamdogo. Tabia za mirembe Suleman acha si umeuona mwisho wake kaa mbali na wake za watu usiseme sijakuambia.
Safi napenda watu wanaosikia manake wanakuwa salama.Haya kaka nimekusikia sio tu ma mdogo mi ni ma mkwe
Haya usiku mwema basi kaka NSafi napenda watu wanaosikia manake wanakuwa salama.
Kaka N tena huja elewa somo ni Dr AASHaya usiku mwema basi kaka N
Hakuna atakayekwambia umeshasema ni "siri".Hellow africa
Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu [emoji849][emoji849][emoji849]
Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi