mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Kutambika kwa wingi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo sana.Siyo kweli. Mimi na kukaa kote hapa mjini sijawahi ona mtu asiye mchaga akajiita mchaga
Hakuna siri wa connection ni Roho mbaya tu za mtu mweusi.Utajiri una Siri zake , either ziwe nzuri au mbaya.
Nakazia mkuuUmejibu vema. Mimi siyo Mchaga na sitamani kuwa Mchaga wala kabila lingine lolote. Na kila nilipo nakuwa nyota na icon. Hao wanaotamani makabila ya watu ni wajinga mno na waombewe sana aisee
Sioni kama kuna maana sana kwa vile baina ya kanda na jamii zetu zina kama rivalry fulani yaani hawapendani kabisa yaani kama unabisha angalia baadhi ya nyuzi ya za kupambanisha mikoa.Lolote linalosemwa na wazee kwa kusisitizwa, si la kupuuzwa. Huenda ni kweli wana mambo meusi (opportunists wa mali).
Ooh huenda. Ila mm sijawahi ku experience hiliWapo sana.
Big No! Hasa hiyo aya ya mwisho, hapo umeongea kwa ujumla na kwa kuhisi, kitu ambacho si sahihi.Mimi kama mchaga siwezi kuthibitisha hili bandiko. Nahisi makabila mengi sahivi watu wanapambana sana.
Ila utofauti kidogo ambao ninauona ni kwamba, sisi wachaga wengi wetu tumezaliwa tukakuta kwenye jamii zetu kuna wachaga wenzetu walishashika pesa za maana sana na ndefu. Kwahiyo mwisho wa siku, unakuta vijana wa kichaga wana hustle wanashika hela lakini wengi bado wanaji feel bado kabisa, na huwezi kuona mtu anajionesha wala mtu anadharau.
Ila kwa baadhi ya jamii nyingine, unakuta vijana wao wa sasa ndo wameshika hela, kwahiyo dharau inakuwa ni mingi sana.
Ukikuta kijana kabila ingine ana savings ya Milioni 400 na mchaga mwenye milioni 400 savings, hawa utakuta ni watu wawili tofauti kabisa, kwenye character.
Hahahaha ndo nshakuchonganisha nao hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini watani zetu wana matukio balaa🤣Ww mbingu uend
Nandi kwao si pale nyuma ya kisangara jina limenitoka
Mimi kama mchaga siwezi kuthibitisha hili bandiko. Nahisi makabila mengi sahivi watu wanapambana sana.
Ila utofauti kidogo ambao ninauona ni kwamba, sisi wachaga wengi wetu tumezaliwa tukakuta kwenye jamii zetu kuna wachaga wenzetu walishashika pesa za maana sana na ndefu. Kwahiyo mwisho wa siku, unakuta vijana wa kichaga wana hustle wanashika hela lakini wengi bado wanaji feel bado kabisa, na huwezi kuona mtu anajionesha wala mtu anadharau.
Ila kwa baadhi ya jamii nyingine, unakuta vijana wao wa sasa ndo wameshika hela, kwahiyo dharau inakuwa ni mingi sana.
Ukikuta kijana kabila ingine ana savings ya Milioni 400 na mchaga mwenye milioni 400 savings, hawa utakuta ni watu wawili tofauti kabisa, kwenye character.
Matukio yao sio yakitoto😂😂Lakini watani zetu wana matukio balaa🤣
Kwa mwandulami[emoji2][emoji2][emoji2]Nasisi wakinga tunakomenti wapi
Kawaida ya maskini lazma amchukie aliyefanikiwa badala ya kujifunza1.kufoji vyeti vya elimu
2.Ushirikina, Kafara na matambiko
3. Mali za dhuluma, uwizi
Lazma kuwe na WA kwanza na WA mwisho,mkubwa ni mkubwa tuSioni kama kuna maana sana kwa vile baina ya kanda na jamii zetu zina kama rivalry fulani yaani hawapendani kabisa yaani kama unabisha angalia baadhi ya nyuzi ya za kupambanisha mikoa.
kiuhalisia kila jamii imejitosheleza na wapo sahihi so sioni haja ya mtu kujifanya yupo zaidi ya mwenzie.