Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

Huu uzi nimegundua wachaga hawapendwi tu kisa tamaduni zao na pesa zao za bata za x mass sawa meku ila unakaribishwa Extrovert
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2044058
ndugu zake tumewaanza leo
255764487367_status_4dc0b74405bb41b1ba2849110e2aebe9.jpg
 
Ndio hivyo mkuu,mm npo moshi na vumbi langu LA kongo 10kg namsubir mother fulan kutoka bongo hapo huko

Ni mke wa askari fulan msukuma kutoka mwanza huko ila yy ni mchaga

Limeshanitumia na pesa za kufanya booking ya lodge for one week

Good bless the woman
Na marinda yako umeyachoka mkuu? Kuwa makini
 
Back
Top Bottom