Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

Mshenzi sana wewe walahi
Hao ni family yako umewapiga picha alafu unajifanya wachaga [emoji35]
Uwivu utakuwa kijana mdogo
Utakufa bureeeeee [emoji2959]
Na utatuacha wachaga tunasomba mapesa mpaka kijini kwenu na nyumbani kwenu walahi nakwambia na uwamini!
Hao kina Haika, Manka, Glory wa mzee Kimario wa kule mweka
 
Aikambee, njooni tunywe mbege. Leo niko hapa kibosho Kirima, Boro Juu tunakula kondoo mda huu na kichiri.

Kesho tunaenda Kirua Vunjo maeneo na Congo na Christmas tuko Marangu Kilema. Tunamalizia mwaka mpya Rombo Mamsera ndio turudi Daslam.

miss pablo Extrovert
 
Back
Top Bottom