Wachaga zindukeni, VICOBA vya kuzikana ni Umaskini!

Hii approach ni nzuri sana Mkuu
 
Ukiona jamii imefikia hiyo hatua ya kufanya mambo ya upumbavu kiasi cha kuunda vikundi vya kufa na kuzikana basi tambua kuwa hiyo jamii imesha asiliwa na WANAWAKE...YAANI HAYO MAMBO YA KIPUMBAVU CHIMBUKO LAKE HUWA NI WAMAMA SIYO WANAUME ...NI KOSA KUBWA SANA KWA JAMII KURUHUSU WANAWAKE KUWA KICHWA . MATOKEO YAKE NDIYO HAYO.
 
Kwa hiyo ni wachaga tu, leka wongo
Wengi ni WAchaga na wao ndio wanaongooza kuona fahari kuzikwa na misafara mingi namaua ya kutosha na watu kulewa, the rest hayo mambo hawana!
 
Umeandika hoja ya maana sana.

Tupo duniani kuishi, focus iwe kwenye maisha bora sio kuzikana kwa ufahari.
Unakwenda kwenye msiba, kajumba ni kadogo kabisa, kamechoka na mazingira yanaonyesha kabisa kuwa aliyefariki alikuwa anaishi maisha ya dhiki,
Msibani mnaleta tent kubwa na mama wa catering, budget ya mashada milioni 1; bajeti ya msiba ni zaidi ya milion 10 ila anayezikwa alikuwa anaishi chini ya dola moja.

Tuachane na ufahari wa misiba Wakati marehemu alikuwa na maisha ya dhiki.
Tubadili hali za kiuchumi na kuboresha maisha sasa, misiba iwe simple maalum kwa ajili ya kumhifadhi marehemu.
 
Marehemu amekufa kwa vidonda vya tumbo na njaa kali, Watoto wake watano Wanaishi DAr, wana VICOBA ukifiwa na mzazi kila kikoba na Saccos inakupa 5m, marehemu anazikwa kwa milioni 40 wakati angepata laki 5 tu angekula mwaka mzima na afya tele. Watoto na vijana wa kichaga wanajiunga na saccos za kuzikana.
 
Ni kweli kabisa, watoto na ndugu wanasahau sana mahitaji ya wazazi.
VICOBA vya kufa na kuzikana vimekuwa sehemu ya kutegesha ili kupata hela unapofiwa
 
Ni kweli kabisa, watoto na ndugu wanasahau sana mahitaji ya wazazi.
VICOBA vya kufa na kuzikana vimekuwa sehemu ya kutegesha ili kupata hela unapofiwa
Makampuni yamewasom wachagga kutka kuzikwa kwa ufahari wameanzisha bima za maziko.
 
Ni sawa kuhoji kuendekeza vikoba, ila kuhoji wachaga hujawatendea haki.
Wachaga wanajua kutafuta hela, na wanazitafuta kweli, sasa unawapangia namna wanavyotakiwa kutumia? Waseme wengine ila sio wachaga
 
Kabla ya kuwapangia wachaga matumizi ya pesa zao , Washauri jamii yako kutafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…