Wachaga zindukeni, VICOBA vya kuzikana ni Umaskini!

Imefikia hatua watu wanalazimishana, huko maeneo ya makazini watu wanalazimishana mno.

HAPO HUJAJA KWENYE MAGROUP YA HARUSI🙌😄😄😄

Wanajua wakiendelea kuongeza MANYUMBU KWENYE HAYO MAGROUP NDIO VITITA VINAKUWA VIKUBWA ZAIDI😄😄😄

FINANCIAL LITERACY NI NDOGO MNO KWA JAMII YA KITANZANIA.
Ukigoma kuchanga wanakwambia na wewe utafiwa, yani wanakupimia.
 
Usipangie watu matumizi ya pesa zao .........
Bora huku Tz, hapo Kenya mfano akifa mtu mzima aged 80+ ni sherehe kubwa inafanywa na mtaa unafungwa!

Hizo ni tamaduni za watu, usilete upuuzi wako
 
Tunajenga tamaduni na taratibu za hovyo sana.

Yaani kuna watu wanachanga kwenye hayo magroup kishingo upandevila wakikaa pembeni ni full manung'uniko😄😄😄😄

Tanzania inaongoza kuwa na RAIA MANYUMBU.
Imagine hayo makundi leo yangeitwa, "kundi la michango na kutafutiana Fursa" mnachagua watu kila mwezi wa kuwanzishia biashara na wanalipa deni kidogo kidogo, ukifika mwaka kila mtu ama ni mkulima ama mfanyi biashara!

Tukalogwa na mamisiba!
 
Usipangie watu matumizi ya pesa zao .........
Bora huku Tz, hapo Kenya mfano akifa mtu mzima aged 80+ ni sherehe kubwa inafanywa na mtaa unafungwa!

Hizo ni tamaduni za watu, usilete upuuzi wako
Utamaduni m'baya tunaukataa, ni upuuzi na ndio unatuletea umaskini mkubwa kwenye jamii!
 
Imeibuka tabia, wanafunzi waliosoma pamoja, watu walioishi mtaa mmoja, Koo moja na kabila kuanzisha vikundi vya Watsup na baadae kujisajili kuwa Rasmi.

Vikundi hivi huwa lazma kuwe na kisebengo ambaye atanzisha M-Koba na kutaka watu wachangieni iwapo mwenzao atapata msiba au ugonjwa wa kudumu.

niwape siri: KUFA TUTAKUFA TU, NDUGU WASIPO KUZIKA , HALMASHAURI ITAKUZIKA MANA HAKUNA ATAKAYE KUBALI KUKAA NA MZOGA, wenzetu wenye asili ya ASIa wanaunda group za fursa za biashara, kuwekeza UTT na Kufungua kampuni kugombea tenda, sisi tunawaza kuzikana tu.

Imekuwa ni ufahari kumzika mama yako, kumjazia maua rose ambayo kipindi cha uhai wake hukuwahi kumpa hata "ua mgomba" .

Mnweka Bufee, watu wale mpaka wasinzie, lakini uhai wake alikuwa anakula samaki na ugalli wa jero au anashindia chai!

Maziko ya mama yenu mnaleta vikundi vya ngonjera na sala na kupiga kila aina ya sifa ambayo kipindi akiwa hai hamkuwahi kufanya hivyo!

huu ni unafiki na ndio unaleta umaskini.

HITIMISHO:
Mtu yeyote, asiniunge magroup ya michango ya kuzikana, niunge kwenye group za kupeana biashara, viwanja, kazi na uwekezaji!
Mkuu umeongea point kubwa sana
 
Al Watani, Wanazingati kuzikwa kwa hesha,ma kuliko kuish kwa heshma, Ndio maana hata hizi Speacil Hire ni safari za uchagani tu, bora hata wazaramo wanaenda ucheza ngoma !
Huwa wananishangaza sana pengine wao wanazingatia sana suala la ushirikiano kwenye kuzikana kuliko jamii zingine.
kwenye kikundi chochote cha kijamii akiwepo mchaga lazima kianzishwe kikoba cha rambirambi.
Wako serious kwenye hili kuliko kawaida.
 
Mnawakosea sana akina shayo. Akina shayo si ni moja kati ya makabila yanayoongoza kwa biashara kwenye hii nchi! Kwenye hili tusiweke kabila, tuweke general, pia mbona ni swala la maamuzi binafsi, sio la lazima kwa mtu yeyote?
Sisemi kwa lengo la kuwakosoa au kumaanisha wanafanya hivyo kwa umasikini wao laksha!.
Namaanisha wanapenda sana kuanzisha vikoba vya rambirambi.
Angalia tu hata magroup ya WhatsApp wakiwemo wachaga wawili watatu lazima kianzishwe kikoba cha rambirambi.

Wako serious na maziko wale watu sijawahi kuona sehemu nyingine.
 
Imeibuka tabia, wanafunzi waliosoma pamoja, watu walioishi mtaa mmoja, Koo moja na kabila kuanzisha vikundi vya Watsup na baadae kujisajili kuwa Rasmi.

Vikundi hivi huwa lazma kuwe na kisebengo ambaye atanzisha M-Koba na kutaka watu wachangieni iwapo mwenzao atapata msiba au ugonjwa wa kudumu.

niwape siri: KUFA TUTAKUFA TU, NDUGU WASIPO KUZIKA , HALMASHAURI ITAKUZIKA MANA HAKUNA ATAKAYE KUBALI KUKAA NA MZOGA, wenzetu wenye asili ya ASIa wanaunda group za fursa za biashara, kuwekeza UTT na Kufungua kampuni kugombea tenda, sisi tunawaza kuzikana tu.

Imekuwa ni ufahari kumzika mama yako, kumjazia maua rose ambayo kipindi cha uhai wake hukuwahi kumpa hata "ua mgomba" .

Mnweka Bufee, watu wale mpaka wasinzie, lakini uhai wake alikuwa anakula samaki na ugalli wa jero au anashindia chai!

Maziko ya mama yenu mnaleta vikundi vya ngonjera na sala na kupiga kila aina ya sifa ambayo kipindi akiwa hai hamkuwahi kufanya hivyo!

huu ni unafiki na ndio unaleta umaskini.

HITIMISHO:
Mtu yeyote, asiniunge magroup ya michango ya kuzikana, niunge kwenye group za kupeana biashara, viwanja, kazi na uwekezaji!
Nimegundua huna hela😄
 
Acha upumbavu kabila lenu mmechangiana wangapi kufunguliana biashara hata ya genge tuu ??

Kila mtu kwenye maisha akomae ajuavyo mwenyewe mambo ya kusingizia ety misiba ni ujuha

Hatuhitaji hata mia yako na hatujawahi omba michango

Uzuri magrupu ni ya watu wa eneo husika tuu na uwe na hela huna kaa pembeni

Kufa ni kufa, uzikwe popote ni sahihi mshazoea kuzikwa manispaa ndo mzoee mm sizikwi manispaa katuuu

wewe jadili mambo ya siasa mambo ya kuhangaika na yasiyokuhusu tafuta bwana akushone upunguze nyege akili irudi
 
Sisemi kwa lengo la kuwakosoa au kumaanisha wanafanya hivyo kwa umasikini wao laksha!.
Namaanisha wanapenda sana kuanzisha vikoba vya rambirambi.
Angalia tu hata magroup ya WhatsApp wakiwemo wachaga wawili watatu lazima kianzishwe kikoba cha rambirambi.

Wako serious na maziko wale watu sijawahi kuona sehemu nyingine.
Unjua hio ina maana gani? Maana yake wanaijua vita uchumi na uchumi wanao. Sio kama ulivyosema kwamba kwanini wasiwe wanaanzisha vikundi vya kiuchumi. Ukiona hivyo ujue upande huo wapi vizuri na wanaonesha njia ya upande mwingine ambapo miaka kadhaa ijayo jamii itawasifia pia kama wanavyosifiwa kwenye biashara zao. Ova
 
Imeibuka tabia, wanafunzi waliosoma pamoja, watu walioishi mtaa mmoja, Koo moja na kabila kuanzisha vikundi vya Watsup na baadae kujisajili kuwa Rasmi.

Vikundi hivi huwa lazma kuwe na kisebengo ambaye atanzisha M-Koba na kutaka watu wachangieni iwapo mwenzao atapata msiba au ugonjwa wa kudumu.

niwape siri: KUFA TUTAKUFA TU, NDUGU WASIPO KUZIKA , HALMASHAURI ITAKUZIKA MANA HAKUNA ATAKAYE KUBALI KUKAA NA MZOGA, wenzetu wenye asili ya ASIa wanaunda group za fursa za biashara, kuwekeza UTT na Kufungua kampuni kugombea tenda, sisi tunawaza kuzikana tu.

Imekuwa ni ufahari kumzika mama yako, kumjazia maua rose ambayo kipindi cha uhai wake hukuwahi kumpa hata "ua mgomba" .

Mnweka Bufee, watu wale mpaka wasinzie, lakini uhai wake alikuwa anakula samaki na ugalli wa jero au anashindia chai!

Maziko ya mama yenu mnaleta vikundi vya ngonjera na sala na kupiga kila aina ya sifa ambayo kipindi akiwa hai hamkuwahi kufanya hivyo!

huu ni unafiki na ndio unaleta umaskini.

HITIMISHO:
Mtu yeyote, asiniunge magroup ya michango ya kuzikana, niunge kwenye group za kupeana biashara, viwanja, kazi na uwekezaji!
Pumba tupu. 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom