Wachaga zindukeni, VICOBA vya kuzikana ni Umaskini!

Wachaga zindukeni, VICOBA vya kuzikana ni Umaskini!

Hizi zenu ndio akili za kuwaza mali badala ya kuwaza uhai na thamani yake. Kama umewahi kuuguza huwezi kubeza michango kutoka kwa ndugu na marafiki, labda wewe ni toto la mwisho lisilojali welfare ya ndugu/wazazi.

Kuumwa siku hizi ni gharama sana, hata serikali haitoi tena huduma kwenye ugonjwa, ni malipo. Kuhudumia mgonjwa ni gharama sana, kama umewahi kufanya hivyo continuously hata mwezi tu utashuhudia.

Sasa imagine unahudumia mama yako yupo Muhimbili kwa zaidi ya mwezi, familia yako haijigusi kwa chochote so upo wewe na mkeo kila siku nenda rudi, unaishi Chanika, nauli tu sio mchezo. Huna hata mtu wa kukupa pole ya kuuguza, rudi tena useme sijui hela wanapiga mtu akifa.

Nimeishi hayo maisha, nimeuguza wazazi wangu wote, ninajua nilichopitia, kama sio mshikamano wa familia na vikundi kadhaa, lazima yakushinde na unaonekana umeshindwa kuhudumia mpendwa wako.

Hapo nimesemea kuuguza tu, habari ya msiba wala sijagusia. Nyie watoto msiojua majukumu it's hard for you to understand.

Endeleeni na ujinga wa magroup maskini nyie!!!
 
Kwenye kusanyiko lolote wakiwepo wachaga wawili lazima kianzishwe kikoba cha kuzikana.

Hawa watu hawajawahi kuwaza kingine beyond hela
Mnawakosea sana akina shayo. Akina shayo si ni moja kati ya makabila yanayoongoza kwa biashara kwenye hii nchi! Kwenye hili tusiweke kabila, tuweke general, pia mbona ni swala la maamuzi binafsi, sio la lazima kwa mtu yeyote?
 
Acha kabisa,tulipo ni mbali,maiti ipo mbali,maiti inabidi izikwe,na mmoja inabidi aende kufuata maiti, home ndugu,jamaa na marafiki wamekusanyika siku nne,dadeq.
Mkimzika huko alikofia anakuwa anagoma kuingia kaburini au???

Acheni lame and cheap excuse.Mnaexagerate mambo madogo kwa kutaka ufahari kwa maiti😄😄😄😄huo mzogo haujui chochote by then.Hisia zenu zinawapoteza.
 
Maoni yangu ni;
1. Swala hili ni la hiari sio lazima kwa mtu yeyote.
2. Wanaojiunga, wanachanga pesa, tafsiri yake wanao uwezo wa kuipata hio pesa, tafsi yake wana kazi zinazowapa vipato
3. Watu hawaanzishi vikundi hivi kwa lukurupuka, wanakutana watu wanaofanana mawazo mara nyingi ni sehemu zao za kutaftia rizki, maana yake wanafanya kazi.
4. Hivyo vikundi huanza kama vikundi vya kusaidiana, ila kwa wenye maono huenda mbali na kuwa vikundi vya kuinuana kiuchumi, watu wanakopa millions of money wanafanya marndeleo.

Ujinga wake ni pale wanapopatikana viongozi njaanjaa, pesa inapigwa. Hilo nimeliona hadi sasa kikundi kipo kimyaa, watu wamekula mkwanja
Ova
 
Kuna watu hawafikiri sawasawa.

Mtoa post atakubali Mama au Baba au mkewe/mumewe au mtoto azikwe na City wakati yeye yupo anatazama?

Labda mtoa post anauwezo kiuchumi

Lakini kama ndio hawa wa below 2M kwa mwezi hana ubavu

Akizikwa na CITY na wewe ukimzika tofauti ni ipi au wewe unaenda kuzika sebleni au mnaweka kwenye kioo.Wa maonyesho huyo mpendwa wenu.

As long as kuzika ni vilevile hakuna haja ya kupoteza rasilimali kibao kwa kitu kilicho wazi.

Uzike msoma,uzike moshi uzikwe na city uchomwe moto haibadilishi chochote kufa ushakufa na ndio acheni kujipa umuhimu na kupoteza pesa bila sababu zenye maahiko.
 
Nakuunga mkono ..hivo vikundi vimekuwa vingi saana mpaka vinatishia ustawi wa uchumi...tunachanga kaxini,ukoo,,schoolmate..mtaani kila mahali mkoba...blal shiiti

Ukiviendekeza hakuna kitu utawekeza kazi yako itakuwa ni kuchangia magroup ya hovyohovyo.Ukija kustuka roho za kichawi zitaanza kukuandama unaanza kuombea na wewe upate hata mtu mmoja afe ili upunguze machungu ya kuchanga😄😄😄
 
Alafu wanaochanga sio kwamba wanapesa. Ni kwa sababu ni tukio linalohusu kuwasaidia waliohai wamempoteza mpendwa wao.
Mkuu nimezungumzia hela zinazotoka kwenye mfuko wa kikundi acha hizi za kuguswa hizo ni zingine kabisa hazihusiani na kikundi ni zinatoka kwa watu tu binafsi mtu kaguswa na msiba anatoa pole millioni anaandika kwenye kitabu anasaini sasa nazungumzia za kikundi zinakuja km package na hizi hua zinachelewa kidogo haziji hapo hapo km za donee donee hizi za kitabu na kusaini kuchangisha
 
Maoni yangu ni;
1. Swala hili ni la hiari sio lazima kwa mtu yeyote.
2. Wanaojiunga, wanachanga pesa, tafsiri yake wanao uwezo wa kuipata hio pesa, tafsi yake wana kazi zinazowapa vipato
3. Watu hawaanzishi vikundi hivi kwa lukurupuka, wanakutana watu wanaofanana mawazo mara nyingi ni sehemu zao za kutaftia rizki, maana yake wanafanya kazi.
4. Hivyo vikundi huanza kama vikundi vya kusaidiana, ila kwa wenye maono huenda mbali na kuwa vikundi vya kuinuana kiuchumi, watu wanakopa millions of money wanafanya marndeleo.

Ujinga wake ni pale wanapopatikana viongozi njaanjaa, pesa inapigwa. Hilo nimeliona hadi sasa kikundi kipo kimyaa, watu wamekula mkwanja
Ova

Imefikia hatua watu wanalazimishana, huko maeneo ya makazini watu wanalazimishana mno.

HAPO HUJAJA KWENYE MAGROUP YA HARUSI🙌😄😄😄

Wanajua wakiendelea kuongeza MANYUMBU KWENYE HAYO MAGROUP NDIO VITITA VINAKUWA VIKUBWA ZAIDI😄😄😄

FINANCIAL LITERACY NI NDOGO MNO KWA JAMII YA KITANZANIA.
 
Kwenye hivyo vikundi kuna watu wa aina mbili.
1. Kundi la wengi lenye hofu na kesho yao. Hicho kikundio kinaleta tumaini.
2. Kundi la wachache sana lenye manufaa zaidi ya wanayopata wengine.

Usipikua sehemu ya hao wawili ni ngumu kujiunga.
 
Shida ipo kubwa ukifika miaka 50 utajua kwa vitendo kwamba kupeleka mtoto English medium ni matumizi mabaya ya pesa na uwekezaji mbaya ambao hautakuja kuzaa matunda.

Hivi ni akili au matope mtoto analipiwa chekeche ada millioni moja wengine mpaka million 3😄😄😄.Yaani mtoto mpaka anamaliza darasa la saba/sita na kingereza chake broken umetupa pesa nyingi sana.

Acheni kuwafaidisha wamiliki wa hayo mashule.Kingereza chenyewe wanachofundishwa broken😄😄😄

Ukitaka kumfunza mwanao kingereza inabidi afundishwa na mwalimu aliyesoma lugha mpaka MATAMSHI.Huku kwingine mnaibiwa shtukeni.

English medium wanaiba mitihani,wanawakaririsha watoto maswali ili shule zifaulishe waje na wajinga wengine na wengine.Hizo ni biashara za watu shtukeni!!!
Mkuu ushawahi toka nje ya Tanzania hata hapo Malawi tu? Au ulishafanya biashara na mtu asiye mtanzania na hajui kiswahili?
 
Back
Top Bottom