Wako 90%Kwa ndio wanaojaza ibada pale kijitonyama na ndio maana ibada ya jana hapakuwepo na waumini kabisa .Aisee hawa wachagga hawa ni hatari tuupu🙆♂️🙆♂️
Wewe pia ni mchaga? Maana niliona ukimteteaWako 90%
Hujakosea umepata. Jamaa zetu hawa ukabila ni tatizo sana. Akiguswa mtu wao utaona wanatetea makosa na uvunjifu wa sheria au taratibu. Haki na ukweli hauna maana ila kile alichofa mtu wao ndio haki na taratibu.Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.
Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.
Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mch Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule ukerewe tusingesikia haya. Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.
Hakika nyerere aliona mbali sana
Wa Usseri RomboWewe pia ni mchaga? Maana niliona ukimtetea
Ulitaka wapemba ndio walalamike,wachaga wengi ni Kkkt kasoro wa rombo so hauna hoja
Rombo ni RCWa Usseri Rombo
Mimi mluteliRombo ni RC
Ndiyo wanaosali pale wengi ni kweliSio kweli. Wachaga ndio wanaojaza kanisa la Kijitonyama?
Wachaga sio wengi kiasi hicho Cha kuleta hizi kelele
Wachaga so wapo Kimara na Mbezi?Ndiyo wanaosali pale wengi ni kweli
Hii nchi misingi ya utaifa wetu inazidi kumomonyoka kwa kasi sana. Badala ya watu kujikita katika kuzungumzia changamoto zilizopo za kitaifa, sasa wao hupoteza muda mwingi kuzungumzia udini, na ukanda, ukabila.Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.
Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.
Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mch Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule ukerewe tusingesikia haya. Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.
Hakika nyerere aliona mbali sana
Kwamba Nyerere ndio SI Unit yako!?Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.
Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.
Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.
Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.
Hakika Nyerere aliona mbali sana
Sema baadhi usitujumuishe woteUnaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.
Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.
Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.
Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.
Hakika Nyerere aliona mbali sana
Na mimi nimeliona hilo,huu ni ujinga tu,magufuli akitukanwa watu wanasema umetukana wasukuma,Hii nchi misingi ya utaifa wetu inazidi kumomonyoka kwa kasi sana. Badala ya watu kujikita katika kuzungumzia changamoto zilizopo za kitaifa, sasa wao hupoteza muda mwingi kuzungumzia udini, na ukanda, ukabila.
Kwa sasa siku haipiti pasipo kusikia uzi wenye lawama, dhihaka ama kejeli kwa Wasukuma ama Wachaga. Badala ya watu kujiongeza na kupunguza umbumbumbu utokanao na "perception errors", wao huendekeza tu ujinga huo.
Akifanya kitu kibaya mtu wa kanda ya Ziwa, basi wao hukazia kuwa ni tabia ya Wasukuma, hali kadhalika hutokea hivyo kwa Wachaga. Badala ya kuangalia mapungufu ya mtu kwa hali ya mtu binafsi, wao hufanya "attribution" kwa kabila fulani aima ama mkoa anapotoka.
Ukisikia chuki za kikabila basi huanza kutokana na hisia ama mawazo finyu kama haya. Ni vyema watu wakapandisha nyuzi ambazo ndani yake zinafikirisha na kuchochea mawazo chanya, Watu makini hupenda nyuzi zilizo na maudhui na mantiki mzuri, na pia zinazojielekeza katika muktadha mpana, na pia wenye kujali maslahi mapana ya taifa letu.
Ndiyo! Ni kweli tunao uhuru wa kutoa mawazo, lakini uhuru huu usitumike vibaya. Ni vyema ukiwa kama fanani mwenye kujali hisia za wengine, ni lazima ujiulize mara mbili mbili kuhusu kile ambacho unataka kuiambia hadhira, kabla ya kupandisha uzi uliosheheni chuki za kikabila.
Sote tuone fahari kuzaliwa na kuishi nchini kama Watanzania. Tunatambua tuna asili za makabila tofauti, lakini tusitumie kabila zetu kuwasema vibaya wale ambao wanaonekana si wa asili sawa na sisi. Kila mtu asifiwe ama kushutumia kama mtu binafsi na wala si kwa kabila lake ama kwa mkoa anaotoka.