Wachagga pekee ndio wanampigania Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama

Wachagga pekee ndio wanampigania Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama

Ni kweli kabisa wanaukabila mweusi mno na wakishamba..hata propaganda za Sabaya ndio walikuwa wawasha moto..ila mama hana uwezo wa kuliona hilo kama Magufuli...Magufuli alikuwa anawazoom kwa mbali alafu unaskia eee..anawafekelea mbali
Alimfyeka Nani? MBNA mkoa wake Hadi anakufa BDO ulikuwa miongoni mwa mikoa maskini? Kilimanjaro Hadi anafariki BDO ni miongoni mwa mikoa yenye uchumi mzuri kwa Watu wake,makazi bora NK? Sasa hapo ni Nani aliyefyekwa? Poor mind
JamiiForums1651838189.jpg
 
Nyerere alikuwa maskini na akawaachia watanzania umaskini wake. Laiti angewaacha akina mangi watengeneze mambo tungekuwa kama Sauzi saa hii.
Ndio maana ujamaa Kilimanjaro waliukaataa tangu zamani,ndio Siri ya maendleo ya Kilimanjaro Hadi Leo,kamkoa kadogo Lkn kanaburuza mamikoa makubwa in almost all aspects
Elimu,afya,makazi,kipato,miundombinu
 
Ulitaka apiganiwe na Wapemba, Waha, wafipa, wasukuma , wajita, Ilihali huko hakuna KKKT?
Hata kama wangekuwepo wa kabila lako ndio wanakufahamu zaidi ya wengine, na ndio walikufahamu kabla hujawa maarufu na wakati wa ubatizo ndio walikuwa wengi kwenye sherehe hiyo, kwahiyo hawawezi kumtenga ndugu yao ati kwa vile amepata matatizo.
 
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.

Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.

Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.

Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika Nyerere aliona mbali sana
Acha kupiga vita wachagga. Kwa kuwa Mchungaji ni mchagga ndiyo unamuunganisha na wachagga,,? Kwa jinsi huna akili ya kupembua mambo bado hujafahamu kuwa wachagga wengi ni Roman Catholic na siyo Lutheran. Kifupi uchaggani Roman Catholic ndiyo inaongoza kwa asilimia 90 plus ndiyo wanafuatia kwa mbali Lutherani tena bàadhi ya maeneo tu maana kuna maeneo mengine hata kanisa la Lutheran hakuna. Hivyo labda utembelee Machame na Mwika ndiyo wapo kwa kiasi halafu Marangu na mjini Moshi kwa kuwa kuna watu wa kabila zote. By the way tupe picha za ibada Leo Kijitonyama mafuriko yapo au ni kama Jana? Kifupi wachagga Wana nguvu kubwa hata kama ni minority kwenye Lutheran. Chunguza Historia ya maaskifu wakuu wa KKKT wanatoka wapi japo siyo majority. Chagga shem zangu ni taifa kubwa mno. Piga makofi kwa Shemejis. Wawawawawawawa
 
Ni mtazamo wako
Viongozi wengi wakubwa wameoa Kilimanjaro
Ndugai
Sumaye
Januári
Mwigulu
Kitila
Mkapa
Warioba
Niendelee?
Kala ya kuendelea Nenda:
KKKT & RC
USTAWI WA JAMII
RITA
MAHAKAMA ZA MWANZO
ULIZA WATU GANI HASA WANAHUSIKA NA MIGOGORO NA TALAKA
 
Kala ya kuendelea Nenda:
KKKT & RC
USTAWI WA JAMII
RITA
MAHAKAMA ZA MWANZO
ULIZA WATU GANI HASA WANAHUSIKA NA MIGOGORO NA TALAKA
Mimi kwenye vyombo vya habari nasikia kanda ya ziwa ndio wanauwana kwa migogoro ya ndoa
 
Kwa hivyo hao wachaga si watanzania?? Ama ni mm sijaelewa unamaanisha nn kuandika ivyo.

Huyo mashavu hatakusaidia lolote mwisho wa muda utaachwa kama kiokote. Waulize kina harakaharaka watakuadithia.
 
Ni kweli kabisa wanaukabila mweusi mno na wakishamba..hata propaganda za Sabaya ndio walikuwa wawasha moto..ila mama hana uwezo wa kuliona hilo kama Magufuli...Magufuli alikuwa anawazoom kwa mbali alafu unaskia eee..anawafekelea mbali
Chanzo cha chuki na ukabila.
 
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.
Sidhani kama umetumia ufafiti kuandika huu uendawazimu wako!
Unaposema wachaga una maana wachaga wote ni KKKT?
Kumbuka kwamba wachaga wengi ni Roman na sio KKKT!
Wachaga ambao ni kkkt ni machame na marangu tu (na sio wote)
Waliobakia ni RC, kibosho, Uru, kIlema, Old Moshi na Rombo yote!
 
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.

Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.

Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.

Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika Nyerere aliona mbali sana
Tumehama kutoka kwenye imani na sasa tumeenda kwenye ukabila na tusipokaa sawa tutasikia siasa nazo zinaingia
 
Kwa ndio wanaojaza ibada pale kijitonyama na ndio maana ibada ya jana hapakuwepo na waumini kabisa. Aisee hawa wachagga hawa ni hatari tuupu🙆‍♂️🙆‍♂️
Hili kanisa linaelekea kusambaratika, ilianza Mbeya sasa inasambaa kidogokidogo kwingine, hii ni ishara kwamba waumini wa kweli hawapo waliobaki ni mashabiki
 
Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.
Lakini hata sadaka na michango mbalimbali ndiyo watoaji wa juu kabisa
 
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.

Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.

Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.

Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika Nyerere aliona mbali sana
waache wapambane na mnyakyusa malasusa. maana wanyakyusa nao kwenye masuala ya dini, kila wanapokuwa lazima pawepo migogoro, wanapenda sana migogoro ya kidini
 
Sio kweli,

Acha fitina za ukabila utafedheheka na kuabikika vibaya sana.

Tumuogope sana Mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom