Wachagga pekee ndio wanampigania Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama

Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.

Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.

Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.

Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika Nyerere aliona mbali sana
Kenge wewe!
 
Mjinga na punguani pekee ndye anayeweza kudhani upuuzi wako huo
 
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.

Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.

Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.

Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika Nyerere aliona mbali sana
Hebu weka picha yako tukuone kama kweli wewe ni msharika wa Kijitonyama au wewe ni mchonganishi tu na husali Kijito
 
Kwa ndio wanaojaza ibada pale kijitonyama na ndio maana ibada ya jana hapakuwepo na waumini kabisa. Aisee hawa wachagga hawa ni hatari tuupu[emoji2297][emoji2297]
Waende wakasali nae kwake... Ni suala la muda upepo utatulia hakuna anaelazimishwa kwenda kusali. Kanisa sio shule
 
Hujakosea umepata. Jamaa zetu hawa ukabila ni tatizo sana. Akiguswa mtu wao utaona wanatetea makosa na uvunjifu wa sheria au taratibu. Haki na ukweli hauna maana ila kile alichofa mtu wao ndio haki na taratibu.
Upo sahihi. Nyie chunguzeni tu hata huko makazini , ikitokea mchaga kaharibu kazi au anatuhumiwa hutasikia mchaga yeyote akimchongea mwanzake lakini itokee mtu mwingine kuharibu utasikia jinsi watakavyojitokeza kuivalia bango issue. Tumeyaona sana haya ktk maisha ya kazi. Hata kama damu nzito lakini wao wamezidi jamani. Hata kwenye Siasa itokee mwanasiasa wa jamii yao kaharibu hutasikia wakipaza Sauti kama wanavyofanya kwa wengine. Nina uhakika hata Makonda angekuwa ni mchaga wala asingesakamwa kiasi kile. Jamaa wanajua kuvumisha jambo na ku influence jamii nzima icheze biti yao bila kujua.
 
Ni kweli kabisa wanaukabila mweusi mno na wakishamba..hata propaganda za Sabaya ndio walikuwa wawasha moto..ila mama hana uwezo wa kuliona hilo kama Magufuli...Magufuli alikuwa anawazoom kwa mbali alafu unaskia eee..anawafekelea mbali
Basi itabidi tumfufue Magufuli aje kupambana nao, Gwajima si anafufua watu?
 
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.

Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.

Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.

Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika Nyerere aliona mbali sana
Kwahiyo kosa lake huyo Kimaro ni lipi, labda muweke wazi
 
Hivi moderators kazi yao nini hasa. Kwanini mnaruhu threads zinazochochea hisia na migawanyiko ya kikabila kama hii? Rwanda na Burundi walianza hivihivi.
 
Utakuwa zwazwa sana kuona ndugu yako anapotea usimtetee ile Inakuwa automatically roho inakupush kufanya ivyo.

Kingine kimaro kwa matamshi yake kila mtu anatafsiri kwa angle yake Kuna watu wanampinga na wanaomsapot...Tambua hata wanaomuona kwamba kakosea ni binadamu hawako sahihi 100% .

Let his followers stand by his side ...
 
Hujakosea umepata. Jamaa zetu hawa ukabila ni tatizo sana. Akiguswa mtu wao utaona wanatetea makosa na uvunjifu wa sheria au taratibu. Haki na ukweli hauna maana ila kile alichofa mtu wao ndio haki na taratibu.
We kabila gani, kwa hii comment we ndo mkabila na unaonyesha umejaa chuki, samahan lakini huna hiyo nafasi Tena ulikua miaka mitano nyuma
 
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.

Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.

Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.

Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika Nyerere aliona mbali sana
Kwa hiyo Waumini wote wa lile kanisa ni WACHAGA TU?
 
Nyerere alikuwa maskini na akawaachia watanzania umaskini wake. Laiti angewaacha akina mangi watengeneze mambo tungekuwa kama Sauzi saa hii.
 
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.

Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.

Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.

Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika Nyerere aliona mbali sana
ndio wako wengi KKT, ni kama wasukuma AICT
 
Back
Top Bottom