Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe..Kumbe Muite Ni mnyakyusa kabila linalopenda migogoro ya kidini.
Kuanzia kule kwao.
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.
Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.
Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.
Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.
Hakika Nyerere aliona mbali sana
Huna akili wewe mngetaka kumtukana mngesema direct lkn mlipoanzisha SUKUMA gang mliexpext nn? Already mshawajumuisha halaf mnasema eti lengo ni fulani. That's stupid.Na mimi nimeliona hilo,huu ni ujinga tu,magufuli akitukanwa watu wanasema umetukana wasukuma,
Nenda kageme ulansi huko, sasahivi unapatikana kwa wingi uje utuuzie huku semtemaWa Usseri Rombo
Oa kwenu acha shoboSema hawa jamaa ni wagumu sana kuishi nao kwenye ndoa.
🤣🤣🤣🤣🤣Mmeshaanza kuingiza makabila kwenye ugomvi wenu wa kugombania sadaka za wanyongeUnaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.
Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.
Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.
Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.
Hakika Nyerere aliona mbali sana
Msiingize makabila tena kwenye Ugomvi wenu wa kung'ang'ania sadaka za wanyongeHujakosea umepata. Jamaa zetu hawa ukabila ni tatizo sana. Akiguswa mtu wao utaona wanatetea makosa na uvunjifu wa sheria au taratibu. Haki na ukweli hauna maana ila kile alichofa mtu wao ndio haki na taratibu.
Wachaga walikupora mke nini mkuuHujakosea umepata. Jamaa zetu hawa ukabila ni tatizo sana. Akiguswa mtu wao utaona wanatetea makosa na uvunjifu wa sheria au taratibu. Haki na ukweli hauna maana ila kile alichofa mtu wao ndio haki na taratibu.
Ulitaka apiganiwe na Wapemba, Waha, wafipa, wasukuma , wajita, Ilihali huko hakuna KKKT?Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.
Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.
Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.
Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.
Hakika Nyerere aliona mbali sana
Ni kweli kabisa wanaukabila mweusi mno na wakishamba..hata propaganda za Sabaya ndio walikuwa wawasha moto..ila mama hana uwezo wa kuliona hilo kama Magufuli...Magufuli alikuwa anawazoom kwa mbali alafu unaskia eee..anawafekelea mbali
Ulitaka apiganiwe na Wapemba, Waha, wafipa, wasukuma , wajita, Ilihali huko hakuna KKKT?
Wachaga walikupora mke nini mkuu
Ngoja nicheke kwanza..nina uwezo wa kukuajari..ninazo kazi sio kazi we mshamba wa kirua.Wewe una ukichaa cha mbwa walahi
Sijui mchaga alikuchukulia mkeo?
Nenda kafanye kazi acha uwivu wa kike dadadeki, mpuuzi wa kihindi uwiii [emoji13]
Sema hawa jamaa ni wagumu sana kuishi nao kwenye ndoa.