Wachagga, Wakikuyu na Waigbo

Wachagga, Wakikuyu na Waigbo

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.

Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.

Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
 
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na jamii nyingine.

You sound triabalistic, hujatoa ushahidi wowote zaidi ya hisia zako.
 
Mada zako za kijinga jinga tu kila siku unawaza makabila in this day and age! Kama unawapenda sana wanaija olewa huko.
 
Acha chuki mkuu, njoo na hoja .
 
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.

Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na jamii nyingine.

Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Mmh! Africa sjui tumelogwa na nan yaweza kuta ww uliyo leta mada maisha na ukoo nzma ya kwenu n ya tabuu sasa iv kla jamii imesomesha wana utajr ila izo jamii ilikuwa maarufu kpnd icho ila saiv kla jamii inawajanja wao kama wao izo jamii
 
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.

Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.

Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Kabisa hawa hawahitaji upendeleo maalumu kama wengine, lakini hata hivyo wametendewa vibaya sana na Nyerere na wengine kwa kuzuiwa uongozi wa juu wa nchi ila kumbe ndio imewafanya wakang'aa zaidi kwingineko.
 
Pambana na hali yako. Kabila, ukoo, dini havina mchango wowote kwenye utafutaji maisha. Wewe na ndevu zako kila siku unawaza makabila tu. Empty set kabisa.
Naona umekuwa offended sana, mbona waposemwa vibaya unafurahia na hutoki kusema haya unayosema. Ni wivu tuu
Kwenye ule uzi wa Mbeya ni mkoa mzuri ulikuwa unasifia na kutuma picha za maeneo ya Wanyakyusa wenzio huo hukuona kuwa ni ukabila.
 
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.

Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.

Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Duuuu... Wanaishije na Masikini!?

Afanya maamuzi magumu ya kujinyonga hadi kufa baada ya kudidimizwa kiuchumi, Kimaendeleo na makabila fulani hivi

1724820854436.png
 
Back
Top Bottom