Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Mbona unakuwa mwongo hivyo. Wewe hujui kabila lako? Usidanganyike. Wazungu wana makabila mfano Wa Welsh Uingereza. Wakurd Wayahudi, wahindi wekundu marekani. WaEskimo, wa Irish, waskoti nk. Hawa wote ni makabila. Hata huko marekani wazungu wako kwa makabila ya kifaranza, kijerumani kireno, kiingereza nk. Ukiishi huko ndio utajua. Kuna kabila hata koo haxioani. Mfano kabila gypsies hawaoani na wazungu wengine. Kama walvyo wayahufi ukiwa bava au nama ni kabila hilo wazalwa wao wote ni wayahudi.
You must be slow. Nimesema hakuna mtu mwenye muda na makabila sijasema watu hawana makabila.