Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
- #61
Huko kwenu mna nini kama sio mnalala na mifugo nyumba moja.Tembea uache ushamba utajiri sio nyumba na biashara tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwenu mna nini kama sio mnalala na mifugo nyumba moja.Tembea uache ushamba utajiri sio nyumba na biashara tu
Huko kwenu mna nini kama sio mnalala na mifugo nyumba moja.
Nyumba ya milioni 8 imejengwa miaka 10 na duka la takataka la laki tisa jumla milioni 8 na laki tisa tayari mchaga ni tajiri na ana bidii ya biashara!!!!!!Na mkiwa kwenu mnatengana sijui Umarangu, Umachame n.k
Mnasumbuliwa na superiority complex, ndiyo maana mnawekwa mbali na dola.
Na milele itabaki hivyo.
Bure kabisa!Nyumba ya milioni 8 imejengwa miaka 10 na duka la takataka la laki tisa jumla milioni 8 na laki tisa tayari mchaga ni tajiri na ana bidii ya biashara!!!!!!
Discussing tribal agenda yet denying mentioning it in your thread sounds stupidBy the way no any where I have mentioned the issue of tribalism.
Naona umekuwa offended sana, mbona waposemwa vibaya unafurahia na hutoki kusema haya unayosema. Ni wivu tuu
Kwenye ule uzi wa Mbeya ni mkoa mzuri ulikuwa unasifia na kutuma picha za maeneo ya Wanyakyusa wenzio huo hukuona kuwa ni ukabila.
Nothing.Mosi, mimi si mnyakyusa.
Pili, nilituma picha za Mbeya kama mkoa sio sababu ya kabila fulani. Uzi na mchango wangu had nothing to do with ukabila. Mbeya ina makabila zaidi ya kumi kwanini uwaze nawa favor wanyaki? What value does it bring to me?
Mambo ya ukabila in this day and age ni uzwazwa. Mtu mzima kukaa kila siku unawaza sijui kabila gani limefanya nini ni upunguani. Kabila, ukoo, dini yako havina tija dunia ya leo. Kila kitu kinashindanishwa globally wewe bado unawaza uchagga sijui igbo. Smh. Kama unawapenda sana kaolewe huko.
Because umekuwa brain washed. Watu kama akina raisi Museven jana nimemsikia akiongelea kuhusuDiscussing tribal agenda yet denying mentioning it in your thread sounds stupid
Sijajua kwa wa Igbo........ila wachaga na wakikuyu wanatabia zinazofanana hasa kwa wanawake, kuua waume zao na kupeleka mali na watoto upande wa familia zaoHaya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.
Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Because umekuwa brain washed. Watu kama akina raisi Museven jana nimemsikia akiongelea kuhusu
Mazuri ya kwao kwa Wanyankole kuwa wana zalisha maziwa na nyama kwa wingi wewe unasema
ni ukabila? Mkataa kwao ni mtumwa nyie ndio wale ambao mnajuta hata kuzaliwa Afrika.
Ndio umekuwa mtumwa, huelewi nini maana ya ukabila wewe..?Kwani ukabila ni nini? Hujui maana yake unabisha na kuandika maneno tupu. Ukiongea kitu chochote katika ngazi ya kabila kiwe kizuri ama kibaya ni ukabila, katika ngazi ya taifa ni utaifa, katika ngazi ya kanda ni ukanda. Umeona raha kutumia neno brainwashed ulikuwa na hamu ya kulitumia umeona hapa ndipo mahala pake eee
Basi tufanye unaongelea uzalendo na upendoNdio umekuwa mtumwa, huelewi nini maana ya ukabila wewe..?
Achana naye ana wivu huyo bwana mdogo, kama vipi akuambie kabila lake na yeye umsifieNi hisia zangu ndio lakini si zina ukweli? By the way no any where I have mentioned the issue of tribalism.
Hawana hoja ni maneno tuu.Achana naye ana wivu huyo bwana mdogo, kama vipi akuambie kabila lake na yeye umsifie
unaishi miaka 100 nyumaHaya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.
Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Mbona unakuwa mwongo hivyo. Wewe hujui kabila lako? Usidanganyike. Wazungu wana makabila mfano Wa Welsh Uingereza. Wakurd Wayahudi, wahindi wekundu marekani. WaEskimo, wa Irish, waskoti nk. Hawa wote ni makabila. Hata huko marekani wazungu wako kwa makabila ya kifaranza, kijerumani kireno, kiingereza nk. Ukiishi huko ndio utajua. Kuna kabila hata koo hazioani. Mfano kabila gypsies hawaoani na wazungu wengine. Kama walvyo wayahufi ukiwa baba au mama ni kabila hilo wazalwa wao wote ni wayahudi.The Igbo Apprenticeship System
Habari wana jamvi. Twende kwenye Mada yetu, Igbo ni kabila linalo patikana Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria na nchi nyingine jirani. Kabila hili limesambaa nchi nzima ya Nigeria hasa kwenye majiji makubwa kama Lagos. Lakini sio hivyo tuu wamesambaa ulimwenguni pote wakifanya biashara...www.jamiiforums.com
Mada zako za kijinga jinga tu kila siku unawaza makabila in this day and age! Kama unawapenda sana wanaija olewa huko.
Mbona unakuwa mwongo hivyo. Wewe hujui kabila lako? Usidanganyike. Wazungu wana makabila mfano Wa Welsh Uingereza. Wakurd Wayahudi, wahindi wekundu marekani. WaEskimo, wa Irish, waskoti nk. Hawa wote ni makabila. Hata huko marekani wazungu wako kwa makabila ya kifaranza, kijerumani kireno, kiingereza nk. Ukiishi huko ndio utajua. Kuna kabila hata koo haxioani. Mfano kabila gypsies hawaoani na wazungu wengine. Kama walvyo wayahufi ukiwa bava au nama ni kabila hilo wazalwa wao wote ni wayahudi.The Igbo Apprenticeship System
Habari wana jamvi. Twende kwenye Mada yetu, Igbo ni kabila linalo patikana Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria na nchi nyingine jirani. Kabila hili limesambaa nchi nzima ya Nigeria hasa kwenye majiji makubwa kama Lagos. Lakini sio hivyo tuu wamesambaa ulimwenguni pote wakifanya biashara...www.jamiiforums.com
Mada zako za kijinga jinga tu kila siku unawaza makabila in this day and age! Kama unawapenda sana wanaija olewa huko.