Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
You sound triabalistic, hujatoa ushahidi wowote zaidi ya hisia zako.Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na jamii nyingine.
Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Ni hisia zangu ndio lakini si zina ukweli? By the way no any where I have mentioned the issue of tribalism.You sound triabalistic, hujatoa ushahidi wowote zaidi ya hisia zako.
You should learn from them.So what?
Acha chuki mkuu, njoo na hoja .The Igbo Apprenticeship System
Habari wana jamvi. Twende kwenye Mada yetu, Igbo ni kabila linalo patikana Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria na nchi nyingine jirani. Kabila hili limesambaa nchi nzima ya Nigeria hasa kwenye majiji makubwa kama Lagos. Lakini sio hivyo tuu wamesambaa ulimwenguni pote wakifanya biashara...www.jamiiforums.com
Mada zako za kijinga jinga tu kila siku unawaza makabila in this day and age! Kama unawapenda sana wanaija olewa huko.
Ukiorodhesha ugali,wali na mtori unakuwa umetaja vyakula.Ni hisia zangu ndio lakini si zina ukweli? By the way no any where I have mentioned the issue of tribalism.
Mmh! Africa sjui tumelogwa na nan yaweza kuta ww uliyo leta mada maisha na ukoo nzma ya kwenu n ya tabuu sasa iv kla jamii imesomesha wana utajr ila izo jamii ilikuwa maarufu kpnd icho ila saiv kla jamii inawajanja wao kama wao izo jamiiHaya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na jamii nyingine.
Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Learn what?You should learn from them.
Kabisa hawa hawahitaji upendeleo maalumu kama wengine, lakini hata hivyo wametendewa vibaya sana na Nyerere na wengine kwa kuzuiwa uongozi wa juu wa nchi ila kumbe ndio imewafanya wakang'aa zaidi kwingineko.Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.
Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Acha chuki mkuu, njoo na hoja .
Naona umekuwa offended sana, mbona waposemwa vibaya unafurahia na hutoki kusema haya unayosema. Ni wivu tuuPambana na hali yako. Kabila, ukoo, dini havina mchango wowote kwenye utafutaji maisha. Wewe na ndevu zako kila siku unawaza makabila tu. Empty set kabisa.
Duuuu... Wanaishije na Masikini!?Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.
Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Wenzako wenye chuki kama wewe walishindwa miaka mingi ndio maana mpakaDuuuu... Wanaishije na Masikini!?
Afanya maamuzi magumu ya kujinyonga hadi kufa baada ya kudidimizwa kiuchumi, Kimaendeleo na makabila fulani hivi
View attachment 3081126