Mbona unakuwa mwongo hivyo. Wewe hujui kabila lako? Usidanganyike. Wazungu wana makabila mfano Wa Welsh Uingereza. Wakurd Wayahudi, wahindi wekundu marekani. WaEskimo, wa Irish, waskoti nk. Hawa wote ni makabila. Hata huko marekani wazungu wako kwa makabila ya kifaranza, kijerumani kireno, kiingereza nk. Ukiishi huko ndio utajua. Kuna kabila hata koo haxioani. Mfano kabila gypsies hawaoani na wazungu wengine. Kama walvyo wayahufi ukiwa bava au nama ni kabila hilo wazalwa wao wote ni wayahudi.
Acha na hao watu wanajidai eti hawatambui makabila kumbe niMbona unakuwa mwongo hivyo. Wewe hujui kabila lako? Usidanganyike. Wazungu wana makabila mfano Wa Welsh Uingereza. Wakurd Wayahudi, wahindi wekundu marekani. WaEskimo, wa Irish, waskoti nk. Hawa wote ni makabila. Hata huko marekani wazungu wako kwa makabila ya kifaranza, kijerumani kireno, kiingereza nk. Ukiishi huko ndio utajua. Kuna kabila hata koo haxioani. Mfano kabila gypsies hawaoani na wazungu wengine. Kama walvyo wayahufi ukiwa bava au nama ni kabila hilo wazalwa wao wote ni wayahudi.
What are taking then kama wana makabila sasa wataachaje kujishughulishaYou must be slow. Nimesema hakuna mtu mwenye muda na makabila sijasema watu hawana makabila.
Acha kuwa brain washed no wonder hata mkisalimiwa kwaunaishi miaka 100 nyuma
Karne hii unaishi kwene ukabila?
ivi unajua wazungu nao walikua wana makabila ila saizi wapo kwene nationalism
yaan utakuta mfaransa,mjerumani na mwingereza…. washatoka huko…
Hii ni kusema upo nyuma ya wakat
Utakuwa mkabila afu mdini kichizi wewe jamaa,Achana naye ana wivu huyo bwana mdogo, kama vipi akuambie kabila lake na yeye umsifie
Wewe unaweza ukawa ni zaidi yake.Utakuwa mkabila afu mdini kichizi wewe jamaa,
Inawezekana, ila sitaweza kuanzisha uzi kusifia kabila langu humu. Huko ni kukaribisha mashambulizi pia. Hutapenda kila kitachochangiwa mtaishia kukwazana tu. Niwaachie mada sasa muendelee mjadala wako.Wewe unaweza ukawa ni zaidi yake.
Wanawekwa mbali na dola kwasababu ya ukabila!!Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.
Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Hili ni lipumbavu na likabilaHaya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.
Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo wamepitia hali inayo fanana ya kuwekwa mbali
na dola kwa kipindi kirefu lakini hata hivyo wamekuwa wakipambana zaidi
ki vyao vyao na wana fanikiwa.
Sio kweli ni Propaganda tuu na jee Magufuli aliyependelea Wasukuma hapo vipi?Wanawekwa mbali na dola kwasababu ya ukabila!!
Yaan hawa ukimuajiri mmoja ofic nzima anaweka wachaga
WivuuHili ni lipumbavu na likabila
Na wao wapo vizuri kwenye biashara ila elimu ndio wamekosa.Wakinga unawaweka wapi?
wivuu wann?karne hii unawaza ukabila?? tena tanzania ! au ndo umetoka marangu umeingia mjini?Wivuu
Wewe ndio kichwa maji kujiondoa akili kuwa Makabila hayapo. Siwezi kuishiwivuu wann?karne hii unawaza ukabila?? tena tanzania ! au ndo umetoka marangu umeingia mjini?
We n lipumbavu na una Low IQ