Wachagga, Wamasai, wameru na wapare wamejitahidi sana kuchanganya damu na makabila mbalimbali Duniani; makabila yote xmass macho kaskazini

Machalii wanadharau huku kibosho Kuna dogo hapa katoka daslami na vichenchi chenchi kafunga bar ya mbege kanunua pombe yote!
Anasasema kama unataka kuingia kwenye pombe anakupiga Kofi Moja alafu anakupa buku Tano ndio unaingia ukumbini
 
Msafara wa Wachaga na magari yao ya kifahari ukielekea Moshi kwa ajili ya Krismasi na Mwaka Mpya
Your browser is not able to display this video.
 
Big no!
 

Mkuu kwani makabila yote yako kusini kuiangalilia mikoa hiyo kaskazini?
 
Hiv nyinyi hamuwezi jisifia kivyenu mkaacha kuyasema makabila mengine?

Kila kabila lina culture zake na ziheshimiwe...usiforce wote mfanane..huo ni ushamba...
Na mara nyingi makabila unayoyataja taja ni yale mnayofeel inferior mbele yao...yaan unahisi wamekupita so unatafuta attention kutoka kwao

Anyway wahaya wanarudi sana kwao tu..katafute bus la kwenda bk leo uone kama utapata

Stendi ya Bukoba naona imezungushiwa mabati iko inajengwa..

Eti michango ya maendeleo..juzi tu hapa wahaya wamechangia ujenzi wa ujenzi wa uzio wa kisasa wa shule ya sekondary Bukoba na omumwani hapo Bukoba...


Bukoba kunajengwa barabara ya njia nne km 5.1
Bukoba bandari yake inapanuliwa ikizidi kuwa ya pili kwa ukubwa kanda ya ziwa...
Bukoba kunajengwa Tawi kubwa sana la UDSM
Bukoba kunajengwa hospital mpya ya mkoa
Bukoba mji mzima kwenye junction kali kuna taa za kuongoza magari...
Uwanja wa ndege Bukoba unawekewa control tower
Bukoba kunajengwa hospital mpya ya moyo...

Jana tu wahaya diaspora walikuwa na kikaa na mkuu wa mkoa wao kujadili jinsi ya kuinua uchumi wa mkoa wa kagera...hoja kibao zimeletwa na mambo mengi yanafanyika siku hiz...bukoba ni construction site na mwakani itapata new shopping mall


Tuje moshi kuna kitu gani kinaendelea zaidi ya mji kuzidi kuchakaa kila kukicha....
 
Bila picha huu Uzi ni batili 😊😊😊 atakuja jamaa mmoja ata comment πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mm mwenyewe nimechanganywa na damu ya kichagaaa πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Who cares .. Kwani wengine hawajachanganya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…