Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mbege ushakunywa ishapanda kichwani.Tupo hime tubachoma nyama muda huu, nyumba imejaa yaani full shangwe
Msafara wa Wachaga na magari yao ya kifahari ukielekea Moshi kwa ajili ya Krismasi na Mwaka MpyaHaya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana.
Leo hii tunaposema Kaskazini ndipo ilipo Christmas's si kwa sababu ya haya makabila pekee bali hata wasukuma ,wabaya, wayao, wajaluo ,wanyakyusa na makabila mengine yanaungana na hawa watu ambao kwa bahati nzuri awajawahi kukataa kwao.
Leo yakitokea madhara kaskani katika sikukuu hii hakuna nchi ambayo mwanachi wake hatoaathirika , hakuna kijiji hapa nchini ambacho kitakosa mwakilishi huko Kaskazini.
Jambo jingine ni kwamba hawa wafu wanapenda kwao bila kujali ngazi ya maendeleo. Mfano Masai pamoja na ujio umaskini wake lakini anajisifu kuzaliwa ngorongoro. Kuna watu wamezaliwa Pwani na wanaishi DAr ila ukiwaambia waende kwao mtagombana.
Wahaya na Wanyakyusa wamesoma na kuelimika lakini umewahi kuwaona wakiungana na familia Mbeya au Kagera? Wakinga wanapesa nyingi, wanamiliki uchumi wa Kariakoo lakini hakuna siku utawasikia wanakwenda Njombe.
Wasukuma ndo kabisa usiseme. Lakini pia tuna waha kutoka Kigoma hata viongozi tu kwenda kwao na kujenga huko hawataki....lakini makabila haya yote yanaungana na wachaga kwenda kaskazini mwisho wa mwaka. Tunahitaji kuwapongeza hawa wenzetu kwa kupenda kwao na kupathamini.
Tunapaswa kujifunza.Mikoa yote na majiji yote hakuna watu isipokuwa Arusha na Kilimanjaro.......huu umoja wao utufunze umuhimu wakishikana.
Mwisho, hawa jamaa ukiangalia magari yanayopeleka misiba kwao ni mengi si kwa sababu wanapenda tu kuzika kwao ila kwa sababu wanaouwezo wakuchangishana wakapata fedha, wana vikundi vyakusaidiana, wanapendana na mwisho wanainuana.
Sisi wengine tumebaki kusema hatutaki ukabila, bila makabila kuna Tanzania?
Msafara wa Samia nao umekuwa msafara wa wachaga!Msafara wa Wachaga ukielekea Moshi kwa ajiki ya Krismasi na Mwaka Mpya
View attachment 2851100
Big no!Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana.
Leo hii tunaposema Kaskazini ndipo ilipo Christmas's si kwa sababu ya haya makabila pekee bali hata wasukuma ,wabaya, wayao, wajaluo ,wanyakyusa na makabila mengine yanaungana na hawa watu ambao kwa bahati nzuri awajawahi kukataa kwao.
Leo yakitokea madhara kaskani katika sikukuu hii hakuna nchi ambayo mwanachi wake hatoaathirika , hakuna kijiji hapa nchini ambacho kitakosa mwakilishi huko Kaskazini.
Jambo jingine ni kwamba hawa wafu wanapenda kwao bila kujali ngazi ya maendeleo. Mfano Masai pamoja na ujio umaskini wake lakini anajisifu kuzaliwa ngorongoro. Kuna watu wamezaliwa Pwani na wanaishi DAr ila ukiwaambia waende kwao mtagombana.
Wahaya na Wanyakyusa wamesoma na kuelimika lakini umewahi kuwaona wakiungana na familia Mbeya au Kagera? Wakinga wanapesa nyingi, wanamiliki uchumi wa Kariakoo lakini hakuna siku utawasikia wanakwenda Njombe.
Wasukuma ndo kabisa usiseme. Lakini pia tuna waha kutoka Kigoma hata viongozi tu kwenda kwao na kujenga huko hawataki....lakini makabila haya yote yanaungana na wachaga kwenda kaskazini mwisho wa mwaka. Tunahitaji kuwapongeza hawa wenzetu kwa kupenda kwao na kupathamini.
Tunapaswa kujifunza.Mikoa yote na majiji yote hakuna watu isipokuwa Arusha na Kilimanjaro.......huu umoja wao utufunze umuhimu wakishikana.
Mwisho, hawa jamaa ukiangalia magari yanayopeleka misiba kwao ni mengi si kwa sababu wanapenda tu kuzika kwao ila kwa sababu wanaouwezo wakuchangishana wakapata fedha, wana vikundi vyakusaidiana, wanapendana na mwisho wanainuana.
Sisi wengine tumebaki kusema hatutaki ukabila, bila makabila kuna Tanzania?
Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana.

Hiv nyinyi hamuwezi jisifia kivyenu mkaacha kuyasema makabila mengine?Unawaita wasomi wa Kagera Nguchiroooooooo, huku tumelogwa ujue mkoa kama Kagera hata stand hakuna. Wakija nyumbani mabasi yatasimama wapi?
Ofcoz wanapenda kupanda ndege ila uwanja mdogo aaahaaaaaa
Wasukuma tupo nyuma ila wahaya wapo nyuma zaidi....wabishi hata kutoa michango ya maendeleo
Uchune bana, msafara wa Wachaga huoMsafara wa Samia nao umekuwa msafara wa wachaga!
Kibosho sehemu gani nipo kibosho hapaMachalii wanadharau huku kibosho Kuna dogo hapa katoka daslami na vichenchi chenchi kafunga bar ya mbege kanunua pombe yote!
Anasasema kama unataka kuingia kwenye pombe anakupiga Kofi Moja alafu anakupa buku Tano ndio unaingia ukumbini
Bila picha huu Uzi ni batili 😊😊😊 atakuja jamaa mmoja ata comment 😅😅😅Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana.
Leo hii tunaposema Kaskazini ndipo ilipo Christmas's si kwa sababu ya haya makabila pekee bali hata wasukuma ,wabaya, wayao, wajaluo ,wanyakyusa na makabila mengine yanaungana na hawa watu ambao kwa bahati nzuri awajawahi kukataa kwao.
Leo yakitokea madhara kaskani katika sikukuu hii hakuna nchi ambayo mwanachi wake hatoaathirika , hakuna kijiji hapa nchini ambacho kitakosa mwakilishi huko Kaskazini.
Jambo jingine ni kwamba hawa wafu wanapenda kwao bila kujali ngazi ya maendeleo. Mfano Masai pamoja na ujio umaskini wake lakini anajisifu kuzaliwa ngorongoro. Kuna watu wamezaliwa Pwani na wanaishi DAr ila ukiwaambia waende kwao mtagombana.
Wahaya na Wanyakyusa wamesoma na kuelimika lakini umewahi kuwaona wakiungana na familia Mbeya au Kagera? Wakinga wanapesa nyingi, wanamiliki uchumi wa Kariakoo lakini hakuna siku utawasikia wanakwenda Njombe.
Wasukuma ndo kabisa usiseme. Lakini pia tuna waha kutoka Kigoma hata viongozi tu kwenda kwao na kujenga huko hawataki....lakini makabila haya yote yanaungana na wachaga kwenda kaskazini mwisho wa mwaka. Tunahitaji kuwapongeza hawa wenzetu kwa kupenda kwao na kupathamini.
Tunapaswa kujifunza.Mikoa yote na majiji yote hakuna watu isipokuwa Arusha na Kilimanjaro.......huu umoja wao utufunze umuhimu wakishikana.
Mwisho, hawa jamaa ukiangalia magari yanayopeleka misiba kwao ni mengi si kwa sababu wanapenda tu kuzika kwao ila kwa sababu wanaouwezo wakuchangishana wakapata fedha, wana vikundi vyakusaidiana, wanapendana na mwisho wanainuana.
Sisi wengine tumebaki kusema hatutaki ukabila, bila makabila kuna Tanzania?
Uwe na aibu hata kidogi basi 😂Msafara wa Wachaga na magari yao ya kifahari ukielekea Moshi kwa ajili ya Krismasi na Mwaka Mpya
View attachment 2851100
Huku kibosho kirima pande za singa hapa!Kibosho sehemu gani nipo kibosho hapa
Who cares .. Kwani wengine hawajachanganya?Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana.