Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Basi tusaidie kutuulizia kwa ndugu, jamaa na marafiki juu ya siri ya wachaga na vitovu vya watoto.Mimi si Mchaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tusaidie kutuulizia kwa ndugu, jamaa na marafiki juu ya siri ya wachaga na vitovu vya watoto.Mimi si Mchaga
Naomba mniambie wachagga watoto wanavyozaliwagwa mnapelekaga wapi vitovu?
Eti dada yangu kajifungua wakaja mama mkwe na mawifi kwa resi wanasuburia siku mtoto adondoshe kitovu wachukue mnapeleka wapi hicho kitovu? Naumuhimu wakukichukua nini naomba mnijuze kwa maana kuwa na mazoea nawachagga sintoweza.
Haya tunaomba mtuelezee mnafanyia nini vitovu vya watoto?
Unajua sisi sio matahira kuongelea hili suala ni kwamba limezidi kuwa kero watu hata hawezi kufuata maisha yao wanakuja kufuata kituti cha watoto maana huyu ni wapili mnakera bwana.
Huu ujinga uishe vituti vinapelekwa wapi??
Msituzingue acheni ushirikianaPoint hapo ni mtoto kupata madhara, ni moja ya maombi yao?
Mbona mila nyingine ni za kipumbavu na kichawi kabisa? Umuombee mtu mabaya adhuhurike!
Yaani jinsi ulivyojijibu basi no comment.Ungewauliza wahusika waliofanya hivyo wakuelemishe,ila kama hukuelewa vizuri ndio uje JF uombe msaada zaidi
Wewe kuja directly JF ni kama bangi na kuendekeza ujinga uliojaa ubongoni mwako
Halafu umejipa ujaji wa kujaji mila za watu wengine sijui umepatia wapi huo ujaji wakati na wewe ni mwafrika yule yule mwenye utamaduni same au close to?
Halafu upo hapa kupitisha hukumu?
Nnai mzee wako peleka mbege hukoHujui lugha anayoongea achana nae wewe sio targeted audience wake
Usilazimishe watu wafate matamanio ya roho yako...eti "Ongea Kiswahili,Amri"...unamuamrisha nani mzee?
Wewe na Zongo tu huko MlaloMimi si Mchaga
Acheni ushirikina mmrudieni MunguYaani umekaa hapa kujifanya kupitisha hukumu kwa mila zisizokuhusu?
Haya wewe una mila nzuri sana zaidi ya jamii zote,kwahiyo waache mila zao wakufate wewe kwa kipimo kipi hasa cha morality?
Ukitaka kuishi uje kiheshima sio kifala hata home mtu ukisikia umesemwa jaribu kutumia hilo libichwa lako ambalo lipo fuvu tu na akili yote imepelekwa kwa mizimu yenu ufikirie cha kujibu kuropoka haisaidii na vitovu vyenu vipo kwa mizimu .Wewe mila zako ni bora sana?
Unajua hakuna mwanadamu mwenye authority ya kutoa verdict ya mila za nani ni bora zaidi ya mwingine,wewe hii authority umetoa wapi?
Kama wanadamu tunaamini mila yeyote yenye kuumiza mwanadamu kimwili au kiakili ni mila ya kuacha au kuiangalia kwa makini ili kupunguza maumivi kwa wanadamu na kuleta maximum comfort to them long term
Sasa hii mila aliyotaja huyu bwana hapa inaumiza mwanadamu gani na kivipi?
Hakuna....