Wachagga, watoto wakizaliwa mnapeleka wapi vitovu?

kinaenda fukiwa migomban, kwan nyie mnatupa tupa tu vtov vyenu?? Au mna utaratbu wa kuvitupa sehem!? Nn kimekufanya upatwe na mshtuko hvyo?
 
Kwakifupi hao ni wachawi na maajenti wa nguvu za giza lengo lao kuu ni kumuunganisha mtoto na mizimu ya huko kwao.Haya mambo ya kipumbavu yana changia kiasi kikubwa watu kuwa controlled spiritually maisha yao yote.Utakuta kuna trend ya majanga au tabia fulani mbaya au magonjwa fulani yana recycle generation after generation kwasababu ya kujiunganisha na hizo madhabahu za ukoo
 
Unajua sisi sio matahira kuongelea hili suala ni kwamba limezidi kuwa kero watu hata hawezi kufuata maisha yao wanakuja kufuata kituti cha watoto maana huyu ni wapili mnakera bwana.
Huu ujinga uishe vituti vinapelekwa wapi??
n vyema kuzoea tamadun na mala za pahali huska, kila tamadun na mila za sehem hukwaza maana n tofaut na za kwenu.

muhimu n kuwauliza kwa hekima wanavpeleka wapi, sdhan kama kutakua na ubaya wowot wanaoenda kutendea vtovu hivyo. Lkn was na woga wenu ndyo madhara ynywe, ukipenda ua penda na boga. Umekubali(amekubali) kuwa mwl mmoja na mchaga bas apende na kufuata taratbu.
 
Point hapo ni mtoto kupata madhara, ni moja ya maombi yao?
Mbona mila nyingine ni za kipumbavu na kichawi kabisa? Umuombee mtu mabaya adhuhurike!
Msituzingue acheni ushirikiana
 
Yaani jinsi ulivyojijibu basi no comment.
Mila zenu zinasikitisha sana hakuna mila kama za kwenu nyie mmevunja rekodi hadi kituti aisee kiru mpo juu.
 
Yaani umekaa hapa kujifanya kupitisha hukumu kwa mila zisizokuhusu?

Haya wewe una mila nzuri sana zaidi ya jamii zote,kwahiyo waache mila zao wakufate wewe kwa kipimo kipi hasa cha morality?
Acheni ushirikina mmrudieni Mungu
 
Ukitaka kuishi uje kiheshima sio kifala hata home mtu ukisikia umesemwa jaribu kutumia hilo libichwa lako ambalo lipo fuvu tu na akili yote imepelekwa kwa mizimu yenu ufikirie cha kujibu kuropoka haisaidii na vitovu vyenu vipo kwa mizimu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…