Wachambuzi Clouds Radio na E-FM wasema hakuna haja ya kumrejesha Manara, Kamwe anaendana na Gen- Z, sura yake ilifanya watoto katika idara waogope

Alichoshindwa Ali Kamwe ku promote mechi mashabiki wajae uwanja wa Mkapa. Hadi mechi za derby hakuweza. Mechi zilizojaza uwanja ni za bure tu
 
Jana nikiwa nasikiliza radio 📻 kwenye GARI
Kuna mchambuzi alikua anazungumza

Akawa anatumia code mixing KIINGEREZA na kiswahili neno visibility akiwa na maana ya kuonekana (EXPOSURE)
 
Hivi ni Tanzania pekee ambapo kila mtu anakuwa na umri mdogo?

Manara ana miaka 50 lakini bado anaitwa ' umri mdogo '.

Kina Ali Kamwe ni early 30s wamefit vizuri na ubunifu juu tofauti na huyu mwingine anayejiropokea tu.
 
Unasema umri wa Mandara ni mdogo ukilinganisha na wako?
 
Manara is educated??
 
S
Tatizo kubwa ni kuwa wewe unajiona una uwezo wakati ukweli ni sifuri! Si vyema kila kukicha kuanzisha sredi za Yanga wakati tunakujua ni simba dam dam
asa kama ni simba na anamtete kamwe wa Yanga Kuna shida? Au mkuu umemaanisha Nini andiko lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…