daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Alichoshindwa Ali Kamwe ku promote mechi mashabiki wajae uwanja wa Mkapa. Hadi mechi za derby hakuweza. Mechi zilizojaza uwanja ni za bure tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana nikiwa nasikiliza radio 📻 kwenye GARIHizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao wamefanikiwa kuondoa kizazi cha wasema hovyo katika mpira, na usemaji sasa ni proffession kamili kabisa kama lengo la FIFA na TFF lilivyotaka
Wachambuzi wanasema Manara apelekwe idara ya wanachama huko, panamfaa..
Ally Kamwe alipata mshituko juzi baada ya kuona babu kikongwe akiingia katika ofisi za idara na kuanza kusalimia, akitaka kufanya kazi, bila barua yoyote ya kumtambulisha kwamba karudi kazini.
Kama ilivyo kwa watoto wakiona mtu mwenye sura iliyoporomoka kama tope la Uyole Mbeya wakati wa masika, kijana aliingiwa na hofu kubwa, akawa anakumbuka zile muvi za Nsyuka na Mazombi.
Baadhi wanasema kwamba, kinachofanyika ninsawa na kuwakuta akina Kamwe na Priva wananata na biti za nyimbo ya Komasava, halafu Manara anaingia anaomba awekewe wimbo wa enzi zake kama Twist, au Msondo Ngoma.
#GenerationKomasava.
View attachment 3056526View attachment 3056527
Hivi ni Tanzania pekee ambapo kila mtu anakuwa na umri mdogo?Kumchukia Manara kunachangiwa na umasikini wa WATU and nothing else.
Ukisema umri - Manara umri wake bado mdogo Sana.
Ukisema ufanisi - Manara is good spoke man .
Ukisema Elimu - Manara is educated person.
So ikiwa Gsm wamesema Anaafa na hao ndo provider wakuu wa Yanga sasa iweje sisi waswahili ambao hatuna hata uwezo wa kumpa mshahara mchezaji mmoja tulalamike.?
Unasema umri wa Mandara ni mdogo ukilinganisha na wako?Kumchukia Manara kunachangiwa na umasikini wa WATU and nothing else.
Ukisema umri - Manara umri wake bado mdogo Sana.
Ukisema ufanisi - Manara is good spoke man .
Ukisema Elimu - Manara is educated person.
So ikiwa Gsm wamesema Anaafa na hao ndo provider wakuu wa Yanga sasa iweje sisi waswahili ambao hatuna hata uwezo wa kumpa mshahara mchezaji mmoja tulalamike.?
Manara is educated??Kumchukia Manara kunachangiwa na umasikini wa WATU and nothing else.
Ukisema umri - Manara umri wake bado mdogo Sana.
Ukisema ufanisi - Manara is good spoke man .
Ukisema Elimu - Manara is educated person.
So ikiwa Gsm wamesema Anaafa na hao ndo provider wakuu wa Yanga sasa iweje sisi waswahili ambao hatuna hata uwezo wa kumpa mshahara mchezaji mmoja tulalamike.?
asa kama ni simba na anamtete kamwe wa Yanga Kuna shida? Au mkuu umemaanisha Nini andiko lakoTatizo kubwa ni kuwa wewe unajiona una uwezo wakati ukweli ni sifuri! Si vyema kila kukicha kuanzisha sredi za Yanga wakati tunakujua ni simba dam dam